Mkoa wa Mara kulikoni, serikali imeusahau?

boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,280
310
Mkoa wa Mara alitoka Baba wa Taifa, ingawa ni Mkoa ulioko nyuma kimaendeleo.
Katika awamu hii bado sijasikia kiongozi wa serikali walau akiwa ziarani huko na walau kutoa ahadi ya kimaendeleo kwa mkoa. Mkoa unahitaji maji kwenye wilaya zote, barabara, uboreshaji wa elimu na afya, eneo la epz, umeme
 
Hasa wilaya ya Rorya imechoka kweli,lakini labda wabunge wapinzani walipatikana kwa kiasi fulani inaweza ikawa shida
 
Nasubiri uchaguzi ili nije kuhiji tu Butiama. Maendeleo hamstahili kabisa nyie.
Maji choteni ziwani na MTO Mara.
Mashine ya Kwilamba- Isanju uzeni vyuma chakavu. Serikali sina hela ya kukarabati.
Tena Bunda mnikome kabisa. Yaani Tyson ananiumaaaaaaa!
 
Mkoa wa Mara alitoka Baba wa Taifa, ingawa ni Mkoa ulioko nyuma kimaendeleo.
Katika awamu hii bado sijasikia kiongozi wa serikali walau akiwa ziarani huko na walau kutoa ahadi ya kimaendeleo kwa mkoa. Mkoa unahitaji maji kwenye wilaya zote, barabara, uboreshaji wa elimu na afya, eneo la epz, umeme
Jitambueni kwanza Kudeki LAMI Kuliwashusha sana CREDIT, Mlifanya jambo la ajabu sana
 
Pole sana,lakini ni mikoa mingapi viongizi Wa juu wametembelea?
 
Ndio Maana Mh. Anawekeza sana kwao sahv hataki akitoka madarakani watu huko wawe wanalalamika kama nyie wa Mara..
 
Acha matusi vijana, msifikiri wote mmezaliwa Dar. Jifikirie vizuri mmetoka mikoani gani, japo mtaficha lakini wapo waliotokea Sumbawanga, Kigoma, Rukwa, Njombe, Songea n.k. karibia mikoa yote hali ni ngumu ukitoa majiji
 
Mkoa wa Mara alitoka Baba wa Taifa, ingawa ni Mkoa ulioko nyuma kimaendeleo.
Katika awamu hii bado sijasikia kiongozi wa serikali walau akiwa ziarani huko na walau kutoa ahadi ya kimaendeleo kwa mkoa. Mkoa unahitaji maji kwenye wilaya zote, barabara, uboreshaji wa elimu na afya, eneo la epz, umeme
Kwani Mara iko geita? Ama mmeambiwa ni sehemu ya Mwanza?
 
Mkoa wa Mara alitoka Baba wa Taifa, ingawa ni Mkoa ulioko nyuma kimaendeleo.
Katika awamu hii bado sijasikia kiongozi wa serikali walau akiwa ziarani huko na walau kutoa ahadi ya kimaendeleo kwa mkoa. Mkoa unahitaji maji kwenye wilaya zote, barabara, uboreshaji wa elimu na afya, eneo la epz, umeme
Kwani Mara iko geita? Ama mmeambiwa ni sehemu ya Mwanza?
 
Jitambueni kwanza Kudeki LAMI Kuliwashusha sana CREDIT, Mlifanya jambo la ajabu sana
Wale naamini mpaka leo walipewa VIROBA haikuwa akili yao.
Hata hivyo ni bora kusamehe tu kwa kweli. Waziri Mkuu kafanya ziara mara 2 au 3 Arusha ( arusha + manyara) wakati huko ni upinzani zaidi naamini wamesamehe ya uchaguzi. Mkoa wa Mara unahitaji huruma ya serikali ili nao walau upate maendeleo
 
Siyo viroba tu! Huko wanataka anayegawa hela kila wiki!
 
Back
Top Bottom