Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 647
- 304
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI
Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.
Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..
Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.
Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe
Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama
Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya
Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Kichaa huyo tena amechanganyikiwa, mshamba kweli.... Kakaa na mke wake huko anakuja kusema kwa niaba ya wananchi wa Lindi...... AtuacheWewe ndio msemaji wa wananchi wa Lindi?
Inashangaza mnoooo nipo hapa Lindi sijawahi kusikia itisho la mkutano wala kikao cha kujadili huu upuuzi aloubandika hapaKenge wahed! Eti kwa niaba ya watu wa Lindi. Wewe ni nani? Yani Vimusiba musiba vyenye njaa zao vipo kila kona ya nchi
Mnafiki tu huyo anatafuta uteuzi... Si unaona bashe juzi kamkingia kifua mkulu amepata cheo??? Sasa huyu nae kama basheMmeshalipwa korosho tayari? Au Hata msipolipwa milele mtasimama naye hivyo hivyo?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI
Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia minne ni makubwa sana.
Kwahiyo tunamwambia na kumtia nguvu Rais wetu sisi wana Lindi ,tunamuombea aendelee kuchapa kazi ..
Asikatishwe tamaa na mtu yoyote ,awe mwana CCM,Mtanzania ,sio mtanzania ,yeye aendelee kuchapa kazi.
Yeyote atakaejaribu kumkwamisha Rais Magufuli au Kumkatisha tamaa,awe sehemu ya wazi au mafichoni ,Mungu atamuumbua mtu huyo mchana kweupe
Tutasimama na Rais Magufuli ,iwe mvua au jua ,watanzania tulikuhitaji muda mrefu sana ,kila mtanzania anajua awe na chama ,au asiwe na Chama
Tutasimama na wewe Mhe Rais ,wana Lindi tuko imara na tunakuombea afya njema ,Mungu akupe maono zaidi ya kuijenga Tanzania mpya
Maliki Malick
Kwa niaba wananchi wa Mkoa wa Lindi
Mmeshalipwa korosho tayari? Au Hata msipolipwa milele mtasimama naye hivyo hivyo?
We utakuwa ushalipwa pesa zako za korosho kwa sisi tulio wengi hapa Lindi ambao bado hatujui hatma yetu hatusimami nae