Kwa nini hospitali ya Nyangao anakotoka mbunge na waziri Membe anayetarajia kugombea urais 2015 haina jokofu la kuhifadhia maiti na leo kaaibika kwa kujionea mwenyewe?Kiukweli hii ni kasumba iliyowajaa watu wengi. Hata hivyo vijana wa sasa wanajifunza kwa kiasi kikubwa wanajitahidi kukumbuka na kujenga kwao.. Hivyo katika maeneo mengi nyumba za kisasa zijajengwa hasa na wenyeji ambao wanaishi mikoa mingine....
Kiukweli hii ni kasumba iliyowajaa watu wengi. Hata hivyo vijana wa sasa wanajifunza kwa kiasi kikubwa wanajitahidi kukumbuka na kujenga kwao.. Hivyo katika maeneo mengi nyumba za kisasa zijajengwa hasa na wenyeji ambao wanaishi mikoa mingine....
Wapo wanyama na ndege wanaosumbua wakati wa msimu wa kilimo.. Hata hivyo tunajitahidi kuwadhibiti mfn Tembo nguruwe panya n.k
ufuta ni moja kati ya zao kuu la biashara mkoani lindi.. Unastawi ktk wilaya zote sita.. Hata hivyo serikali bado bado haijatoa sapoti ya kutosha ili kuongeza uzalishaji
Kihistoria mkoa wa Lindi ni moja ya mikoa yenye historia mzuri kitaaluma.. Nakumbuka mpk kufika mwaka 2002 mkoa wa lindi ulikiwa unaongoza na kushika namba moja ktk matokeo ya kitaifa ya SHULE ZA MSINGI.. Baada ya hapo serikali kwa kiasi kikubwa ilihamisha wataalamu hasa walimu wakongwe Na kuwapeleka ktk mikoa mingine hasa ilipofika utawala wa Jk na kuleta anguko kubwa la elimu ktk mkoa wetu ambao ulikuwa unazalisha wasomi wengi.... Shule maarufu za msiNgi zilizokuwa zinashika nafasi za juu kitaifa ni pamoja na MSINJAHILI. TUNDURU YA LEO. NAMBAMBO... shule hizi zote ni za serikali....
Kwa upande wa shule.za sekondari.. Kama unavyojua kila.kata ina shule za sekondari.. Hata hivyo bado shule zinazofanya vizuri ni shule kongwe mfn LINDI SEKONDARI. MKONGE. NACHINGWEA SEKONDARI. MAHIWA nk.
Kwa upande wa high skuli shule tunazozitegemea ni MAHIWA na LINDI SEKONDARI.. bado tuko nyuma ktk high skuli.. Ila bado tunaendelea kuisisitiza serikali kutuwezesha angalau tuwe na high skuli kila wilaya..
Kwa upande wa shule binafsi kiukweli halijapewa kipaumbele... Bado tunajitahidi kurusldisha heshima ya kitaaluma ktk mkia wetu kama zamani
pia vipo vyuo mbambali ikiwemo.vyuo vya ualimu na vyuo vya afya vya serikali ngazi ya certificate.. Ikiwemo chuo cha ualimu cha nachingwea
Asante
samaki nchanga bila shaka umemaanisha panya.. Kiukweli kabila linalosifika kwa ulaji wa panya ni wamakua.. Hata mimi ni mmakua ila sili panya... Ila asilimia.kubwa ya wamakua hula panya.. Wamakua wanapatikana kwa wingi wilaya ya masasi.mkoa wa mtwara.. Hata hivyo kwa kuwa wamakua wamesambaa pia ktk mkoa wa.lindi hasa ktk wilaya jiran ya Nachingwea.. Panya wanaliwa tena kwa.wingi sana na makabila karibu yote ikiwemo wamwera na wamakonde.... Kuhisi ming,'oko pia inachimbwa na kuliwa kwa wingi tena wengine hufanya kama zao la biashara
Mzee Bob,
Hili suala halijadiliki, maana hata BM huko aliko in private nasikia hucheka sana anapowasikia kina JK na EL wanapopiga piga kelele, na yeye huwaita marais wawili kwani yeye anasema anelewa kuwa hawatafanya kitu zaidi ya kelele tu zamlango,
Tunafuata siasa gani sidhani kuna kiomgozi hata mmoja wa bongo anayeweza kusema ukweli kuwa kwenye hili hatuna lolote ila tupo tu!
Binafsi ninasema sasa ni Mungu tu nisaidie, serikali yetu leo imejaa who knows who! Sio tena Who knows what! As much as I have a problem na siasa za Mwalimu, lakini angalau chini ya mzee tulikuwa tunajua tunasimamia wapi, na mimi binafsi nilisoma bureee, na warrant ya shule ile ya treni na basi niliikwaa sana, basi tu sometimes sina shukrani na Mwalimu, unajua Biblia inasema kuongeza knowledge ni kujiongezea sorrow, Watanzania ndugu zangu we are stuck!
Haya mambo ya mashirika makubwa sisi we have absolutely no idea nini kinaendelea, Bob na wengine nafikiri mmesoma kile kitabu cha Economic hit Man, now yale ni mambo ya 1950s na 1960s! Sasa niambie leo 2006 hao kina hit man wanafanya nini? Na sisi tunafanya nini?
Sasa hivi tuna viongozi wezi tu na siasa hatuna kabisaa, tena sasa nimeshaanza kukata tamaa na mzee JK, kuwa hakuna lolote kama anvyosema mzee BM, as much as I hate him lakini ana point "......hawa MARAIS wawili kazi yao kelele tu unafikiri wataweza?......"
Nikiondoka Dar nafika lindi sangap?? Kwa bus
mna radio ngap za masafa ya fm nataka nijue wananch wa huko kama wanapata habar kwa umakin zisizoegemea upande mmoja kama pale mawingu fm