Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni
CCM imeshinda majimbo 10 ya uchaguzi kati ya majimbo 12 yaliyopo isipokuwa jimbo la Ukonga ambalo ACT-Wazalendo wameshinda na Jimbo la Segerea ambalo CHAUMMA wameshindi kiti hicho.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

- Jimbo la Kinondoni
Jimbo la Kawe
Jimbo la Ilala
Jimbo la Segerea
Jimbo la Ukonga
Jimbo la Temeke
Jimbo la Mbagala
Jimbo la Kigamboni
Jimbo la Ubungo
Jimbo la Kibamba
Kivule
Chamazi
CCM imeshinda majimbo 10 ya uchaguzi kati ya majimbo 12 yaliyopo isipokuwa jimbo la Ukonga ambalo ACT-Wazalendo wameshinda na Jimbo la Segerea ambalo CHAUMMA wameshindi kiti hicho.
Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;
- Abbas Gulam Tarimba (Jimbo la Kinondoni)-CCM
- Geofrey Anyosisye (Jimbo la Kawe)-CCM
- Mussa Azzan Zungu (Jimbo la Ilala)-CCM
- Agnesta Kaiza (Jimbo la Segerea)-CHAUMMA
- Bakari Shingo (Jimbo la Ukonga)- ACT-WAZALENDO
- Mariam Kisangi (Jimbo la Temeke)-CCM
- Kakulu Buchard Kakulu ( Jimbo la Mbagala)-CCM
- Haran Nyakisa Sanga ( Jimbo la Kigamboni)-CCM
- Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo)-CCM
- Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Jimbo la Kibamba)-CCM
- Dougras Didas Masaburi ( Jimbo la Kivule)-CCM
- Abdallah Jafari Chaurembo ( Jimbo la Chamazi)-CCM
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025