Mkoa gani unapendelea kuishi hapa TZ na kwanini?

huko mwanza vipi mkuu haupaenjoy, kila mtoto niliye muona mwanza alikuwa mkali kuanzia watoto wa malaika hadi mama ntilie wa mwaloni, hivi firigisi ya bluutus nini vile?

Mpwapwa bwana it's a lon' story!
Bt watu kama BAGAH, B52, Mwali, SL, Maziwa mgando, Smile, Preta, Mtu chake, SS, Mtei moko, Aspirin, Senetor, BT, Ndetichia, Mamndenyi mmoja kati ya hawa ningependa wakuambie why Mpwapwa ?
Mpwapwa kuna nani ?
 
Arusha ndio penyewe, kwanza watu wa hapa ni wajasiri, waelewa na hawadanganyiki (majority) then ndio kitovu cha ukombozi wa kweli wa nchi yetu. Karibuni jiji la dollars, euros, pounds etc etc.... Plus CHADEMA.
 
umeshau kijiti mzee na mambo na mrina/mshele
 
Mpwapwa bwana it's a lon' story!
Bt watu kama BAGAH, B52, Mwali, SL, Maziwa mgando, Smile, Preta, Mtu chake, SS, Mtei moko, Aspirin, Senetor, BT, Ndetichia, Mamndenyi mmoja kati ya hawa ningependa wakuambie why Mpwapwa ?
Mpwapwa kuna nani ?

Husninyo ndani ya Mpwapwa....
Hahahaahahaaaa Jg umetisha lol
 
Mkoa wa Osterbay,masaki,mbezi beach na seaview 'mkoa' uliojaa wezi wa nchi hii!
 
Mpwapwa bwana it's a lon' story!
Bt watu kama BAGAH, B52, Mwali, SL, Maziwa mgando, Smile, Preta, Mtu chake, SS, Mtei moko, Aspirin, Senetor, BT, Ndetichia, Mamndenyi mmoja kati ya hawa ningependa wakuambie why Mpwapwa ?
Mpwapwa kuna nani ?

hawajui kuwa huko ndo "kilicho boora" kinapatikana?...HUSNY beib!...
 
nitakuwa wa mwishoni mwishoni,
kuna mtu nataka nikaishi naye mkoa mmoja,
akipita tu hapa na mimi nitarudi.
 
Back
Top Bottom