Mkoa gani unapendelea kuishi hapa TZ na kwanini?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
mi binafsi napendelea morogoro kwanza naona upo centre ni rahisi kwenda pande mbalimbali za nchi, sio poluted kama dar na hali ya hewa moderate. wewe je?
 
ukinitoa hapa nilipo naweza pata bren konkashen...ni sawa na samaki wa maji baridi kumhamishia maji ya chumvi...jiji lenye mishemishe zote!...
 
Hapa hapa Ushongo Mabaoni (Tanga) ni pazuri,.
bahari, watu wazuri kwa umbo na tabia. :grouphug:
 
Mie nitasubiri hadi Mpwapwa itakapopewa hadhi ya Regional! Tena nisiskie mtu mwingine ananifata Mpwapwa namtoa firigisi ya bluutus!
 
Mie nitasubiri hadi Mpwapwa itakapopewa hadhi ya Regional! Tena nisiskie mtu mwingine ananifata Mpwapwa namtoa firigisi ya bluutus!
huko mwanza vipi mkuu haupaenjoy, kila mtoto niliye muona mwanza alikuwa mkali kuanzia watoto wa malaika hadi mama ntilie wa mwaloni, hivi firigisi ya bluutus nini vile?
 
Back
Top Bottom