Mkoa gani unapendelea kuishi hapa TZ na kwanini?

nyamala kwakuwa ni karibu na mango garden..
mkuu nikupige kaswali ka kizushi, hivi yule mnenguaji centre tall hivi wa twanga anaitwa nani? maana kuna siku nilitaka kujifanya pedeshee kwa ajili yake!
 
me ningependa kuishi pale Magogoni ila usiniulize ni kwanini
hiyo avatar yako inanikumbusha wimbo wa daz nundaz ' kijana mdogo lakini nimekomaaa sababu ya shida ndio maana nimeshupaaa' kuhusu magogoni subiri ukue
 
Ningependa kuishiiii ....... alikotokea Lulu ili niwakomeshe wanaume wenye wivu
 
Back
Top Bottom