Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,587
- 18,773
Kuna mahali nimezingua mkuuUkilewa usichati
MtiSeran na Binti wa zamani changamkeni offer...
Kunywa hakuna weekend,sema naheshimu maamuzi yakoHii mambo nimeacha kabisa kampan za kunywa!
Kuna kipindi kila weekend ni kukutana na wana na kula gambe, kazi kuhama tu viwanja ! Bar naenda tu for leisure, maji yangu makubwa na malt , huku nasafisha macho na kuangalia mpira
Now nikimiss sana nainyonyea home moja au 2 baaaaas ! Tena only weekend!
Hakuna mkuu watakuja kukupa tag hapoKuna mahali nimezingua mkuu
Kujeni wadogo zangu,bills zote juu yanguHakuna mkuu watakuja kukupa tag hapo
Huo ni uzee bro unapiga hodi. Mshukuru sana Mungu uzee unakujia vzrHii mambo nimeacha kabisa kampan za kunywa!
Kuna kipindi kila weekend ni kukutana na wana na kula gambe, kazi kuhama tu viwanja ! Bar naenda tu for leisure, maji yangu makubwa na malt , huku nasafisha macho na kuangalia mpira
Now nikimiss sana nainyonyea home moja au 2 baaaaas ! Tena only weekend!
Usiite watu njoo mkuu@secretarybird,Monetary doctor,dosho12
Wakutosha njoo kakaKungekuwa na mademu wembamba au umbo la wastani ungetaja location. Nalewea wanawale si pombe
Mti
Kunywa hakuna weekend,sema naheshimu maamuzi yako
Huo ni uzee bro unapiga hodi. Mshukuru sana Mungu uzee unakujia vzr
Ngoja nipate ka wine ka hivi , pombe nzito nzito nastaafu kwa mda
View attachment 3597160
Toa location sasaWakutosha njoo kaka