Mko pouwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mko pouwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Tupo poa kinoma mkuu. Karibu sana jf.
 
Pita ndani, huyo aliyekupokea mzigo hapo mlangoni anaitwa Slave na mimi ni Katavi, subiri kidogo Chatu Dume atakuletea kinywaji...
 
Mkuu karibu sana unakunywa juice au Azzam Cola? Katavi kakunulia niambie ili nikuletee
 
Karibu criss, ila kw kuwa hapa ni jukwaa la watu wazima hizo lugha zako za ki fesibuku ( wic, thx, lol) achana nazo wengine tushajizeekea hatuwezi kuzielewa kabisa.
 
Karibu criss, ila kw kuwa hapa ni jukwaa la watu wazima hizo lugha zako za ki fesibuku ( wic, thx, lol) achana nazo wengine tushajizeekea hatuwezi kuzielewa kabisa.
<br />
<br />
Usiteshe haraka sasa! Weka kwenye trash iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom