mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
hodihodi mkiva nimerudi babu shikamoo wakubwa habari zaleo.nimerudi tena bana ya kumaliza vikao vya mchakato wa tanzania tuitakayo sasa nipo likizo.nimeona nivema nirudi kijjn chitchat nikale bata pia nikaendeleze harakati zangu za kumuopoa mtoto elzabeth maico kama bado hajaopolewa.nakama kaopolwa nitafte mwenza.nawapenda wote asanten