zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
umefeli mtihani, mfuate bi'kiroboto ukawe kaserengeti boy kake. mwanangu muache.kweli nampenda lakn nikikupa kadi ya gari mimi nitatembea kwa baiskel hati yanyumba tutaenda kupangisha master kadi nitashindwa kumpeleka viwanja baba ngoja nitakununulia kavitara kakuendea baar na mama wewe nipe mtoto