Mkiuziana mali zisizohamishika basi makabidhiano ni sehemu tatu tu!

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,275
2,000
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima mkakabidhiane (mkaandikiane hati) kwa mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata au mahakamani

Akaendelea kusema kuwa hati yoyote itakayoandikishwa kwa mwenyekiti wa kitongoji au kijiji au polisi au popote pale tofauti na sehemu hizo tatu alizoelekeza basi hati hiyo itakuwa ni batili na haitotambulika

"Mwenyekiti wa kitongoji anamiliki mhuri kwajili ya kukutambulisha wewe mkazi wa kitongoji chake tu, basi!"

Hapo nataka mniambie kwanini iko hivyo (kwa vifungu zaidi)
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,023

mtendaji wa nini? aliyasema wapi?
 
liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,291

Inamashiko

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,588
2,000
Kwahiyo mimi niliyenunua kiwanja na mwenyekiti akiwepo akaweka mhuri wake kwenye karatasi ni batili? Kwamba haitambukiki au? Aiseee nishajenga nyumba yangu msilete sheria zenu za kuamka kutoka kitandani.
 
sirmweli

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
1,494
1,500
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima mkakabidhiane (mkaandikiane hati) kwa mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata au mahakamani

Akaendelea kusema kuwa hati yoyote itakayoandikishwa kwa mwenyekiti wa kitongoji au kijiji au polisi au popote pale tofauti na sehemu hizo tatu alizoelekeza basi hati hiyo itakuwa ni batili na haitotambulika

"Mwenyekiti wa kitongoji anamiliki mhuri kwajili ya kukutambulisha wewe mkazi wa kitongoji chake tu, basi!"

Hapo nataka mniambie kwanini iko hivyo (k
Kabla ya kinunua ardhi nenda kwa wakili huyo ndo atakuelekeza matakwa ya Sheria.
Mtendaji wa Kijiji au polisi watakupiga Hela.
wa vifungu zaidi)
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,728
2,000
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima mkakabidhiane (mkaandikiane hati) kwa mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata au mahakamani

Akaendelea kusema kuwa hati yoyote itakayoandikishwa kwa mwenyekiti wa kitongoji au kijiji au polisi au popote pale tofauti na sehemu hizo tatu alizoelekeza basi hati hiyo itakuwa ni batili na haitotambulika

"Mwenyekiti wa kitongoji anamiliki mhuri kwajili ya kukutambulisha wewe mkazi wa kitongoji chake tu, basi!"

Hapo nataka mniambie kwanini iko hivyo (kwa vifungu zaidi)
Anataka mpunga huyo Mtendaji tmemstukia mwambie
 
Achimwene wa Makete

Senior Member
Oct 13, 2021
156
500
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima mkakabidhiane (mkaandikiane hati) kwa mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata au mahakamani

Akaendelea kusema kuwa hati yoyote itakayoandikishwa kwa mwenyekiti wa kitongoji au kijiji au polisi au popote pale tofauti na sehemu hizo tatu alizoelekeza basi hati hiyo itakuwa ni batili na haitotambulika

"Mwenyekiti wa kitongoji anamiliki mhuri kwajili ya kukutambulisha wewe mkazi wa kitongoji chake tu, basi!"

Hapo nataka mniambie kwanini iko hivyo (kwa vifungu zaidi)
Anataka percent huyo wala hausiki kwenye mauziano.

Hata mwenyekiti ukimshirikisha ni hiyari yako akuthibitishie tu kwamba anamtambuwa muuzaji.

Wakili ndio mtu sahihi wa kumtumia kama hakulipishi gharama kubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom