Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

platozoom unataja maeneo ambayo wala hayapo kwenye mada yangu.. Naona kwenye mada nzima na kila nilichoandika havijadiliwi tena bali tumebaki na ukabila.. Rudia kusoma tena pls

Jr[emoji769]
Mbona sijaandika kabila, nimetumia neno 'Kaskazini' kama ulivyolianzisha. Na sisi Watu wazima tafsiri tunaijua labda utuambie Kaskazini ipi uliyomaanisha
 
Mshana bhana! Kwahiyo hii hoja yako point yake ni ipi sasa? Wakati umesema katika sehemu zote zilizopendelewa kiuchumi bado watu wa Kas kazini wameshika nafasi za juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kwan uongo?
Sehemu yoyote mtu wa kaskazini alipo lazma kuendelee, ukienda mkuranga,kisarawe wachaga wamenunua karibu maeneo yote na maendeleo ni makubwa mno,ila mwanzoni wenyeji hawakuona fursa hii hii ndio mantiki ya mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Kaskazini hasa Kilimanjaro ubaguzi ndio asili yao.
Wanasema wanashushwa, sijajua lini walipandishwa?

Hao watu wanapenda kila kitu kizuri kiwe chao hivyo wakikosa ndio wanaanza porojo

Kuiba maofisini, ufisadi, ujambazi , utapeli ndio mambo wanayoweza sasa Magufuli kawabana kwote huko ndio wanakuja kutema nyongo kwa ID fake hapa JF
Kwani kila kitu kizuri kikijengwa kaskazini ndiyo nchi itakuwa imeendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted
Kaskazini ameshindwa kuidumaza maana watu wa kule Wana akili nyingi ametumia kila nguvu lakin Cha ajabu kaskazini haitetereki kila mahali tz ukienda unakuta wakaskazin wameshika fursa,hata chato wakaskazin wameshakamata fursa kitaambo huku wenyeji wakichunga ngombe,hii ndio faida ya elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda tukuchukue ramani then tuangalie upande wa kaskazini kuna nani na nani... Hii itasaidia kuondoa mazoea na kukariri jambo ambalo ni baya sana... Na katika maisha tumefeli ama kupotosha mara nyingi kutokana na mazoea na kukariri... We are not specific...
Mbona sijaandika kabila, nimetumia neno 'Kaskazini' kama ulivyolianzisha. Na sisi Watu wazima tafsiri tunaijua labda utuambie Kaskazini ipi uliyomaanisha

Jr[emoji769]
 
Jamaa wa manispaa ya moshi wanajiona wajanja sana wakati Dodoma imewapita hivi hivi na kuwa jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma hiyo ya ku boostiwa?
Mbona Dodoma wananchi ni maskini Sana?
Kilimandjaro ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha Bora na makazi Bora kwa 90%
Wakati kule Dodoma wanalala nyumba zimefanana na banda lá kuku kule moshi
PILI kilimanjaro Hakuna shida za maji,umeme, zahanati lkn dodoma ndio sasahv wanajengewa na serikali ndio ufananishe na kilimanjaro?
Kilimanjaro wananchi wanajitoa sana ktk maendeleo,mfano vunjo mwaka jana wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo dodoma wana uwezo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi, huyo mshana anajaribu ku compromise ila anajua ameshakosea na mada yake ya kitoto na ubaguzi.

Ajabu kuna vitoto vimeshadakia mada vinataka ligi bila Kujua historia ya utawala wa hii nchi
Mbona sijaandika kabila, nimetumia neno 'Kaskazini' kama ulivyolianzisha. Na sisi Watu wazima tafsiri tunaijua labda utuambie Kaskazini ipi uliyomaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish, ulitaka fursa zipelekwe Mwanga? hamjaridhika na aliyowafanyia Msuya?
Siku hizi umekuwa mtaalam wa kuandika pumba
 
Kisarawe, mkuranga,bagamoyo wachaga wameinunua karibu yote wanaona fursa ya miaka 20 mbele
Yaan Hawa watu kwa maendeleo nawapa hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N'a kule mkuranga,kisarawe , bagamoyo wachaga wameshanunua karibu yote tunawasogeza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wivu jifunze kwa walioendelea
Kwan ni uongo tangu enzi na enzi kilimanjaro ni mwalimu wa maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ningekua mimi ningekumbuka nyumbani aisee! Uzuri hata Waziri Mkuu mstaafu anayetokea Kaskazini Cleopa Msuya, mpaka leo kuna baadhi ya wadau wanamshutumu kupeleka barabara ya lami kwao huku maeneo mengi ya kimkakati yakipotezewa.

Sema tu kuna umuhimu wa kubalance kwa namna yoyote ile! maana too much is harmful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…