Akiulizwa afafanue anaruka rukaHuyo mshana mda mwingine anakuwa na mada nzuri , wakati mwingine anajisahau sababu ya unazi wa kisiasa.
Mada kama yake ilitakiwa aanzishe mtoto mdogo asiyejua historia ya hii nchi, ila cha ajabu mtu mzima ambaye ana heshimika na baadhi ya watu hapa JF ndio amekuwa wa kwanza kuanzisha mada ya kipumbavu na kishamba kabisa.
Tanzania ni moja , ikiendelezwa Chato , Msoga, Mbeya, Moshi, Arusha, Mwanza, Dodoma, kigoma, moro n.k yote ni maendeleo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kaskazini ni Moshi pekee? [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Sijataja kabila pia twendelee na hio 'kaskazini'Yes nimeandika hivyo wala siwezi kupingana na maandiko yangu.. Sijaanzisha chochote kinachotaja ukabila... Hii ni tafsiri yako unayotaka nikubaliane nayo.. Kitu ambacho sio sahihi
Jr[emoji769]
Naiomba kwako mwandishiUmepata tafsiri gani juu ya kaskazini kwani
Jr[emoji769]
never mind about that typing... Hayo maandishi kaandika nani?Sijataja kabila pia twendelee na hio 'kaskazini'
Ni kweli inatakiwa ujue thamani ya zawadi uliyoletewa ili kuendelea mbele na sio kurudi nyuma au kubaki pale pale.Unapobebwa bebeka basi...
Jr[emoji769]
Mbona hujibu swali mshanai assure you kwa ulikwengu wa sasa hamna jipya ambalo makabila wengine hawana kama lipo litaje hapa tumalize mzizi wa fitna
Jr[emoji769]
Akiulizwa afafanue anaruka ruka
Ila hamna kitu kitakachowashusha 'kaskazini' kama hio kujiskia wako smart kuliko wengine..matokeo yake wanarelax wanajiona wamefika wkt Tanzania wote ni 3rd world country[emoji23][emoji23][emoji28]
Sikuzote anayepiga hatua ni yule ambae anajiona hajafika...this applies to jamaa zote ambazo zilihisi kuachwa nyuma wana bidiii mfano hakuna siku hizi
Ni kama vile soko la simu sasa kila kitu ni iPhone na Samsung...ila Nokia na Blackberry ilitamba sana
Mtabaki historia...mark my words
Watasalimika watakaoendelea na bidii na maisha na kuishi vizuri na watu...si zama za ukabila sasa...ts abt value ya mtu na si kabila ama ukanda
Ngoja nikuache ila ujumbe utakua umeupataHapana mimi nimeshaandika nitafsiri nini tena?
Jr[emoji769]
Muulize mshanaBado tunapambana sista, hakuna aliyelala wala kusinzia coz "maendeleo hayana chama" na bado tunajenga miundombinu japo kweli kwa sasa resources zimepunguzwa sana. Ninachojivunia maeneo mengi watu wanashikana sana, kama kuna issue inahitaji umoja watu wapo so positive na kusaidia maendeleo ya eneo husika.
What I don't appreciate is huu ukanda, kaskazini, kanda ya ziwa...why promoting such?
Ngoja nikuache ila ujumbe utakua umeupata
And truth is 'kaskazini' hamna kitu special ambacho kanda nyingine hawana
Nchi inaenda and ur not in top positions at all
Akiulizwa afafanue anaruka ruka
Ila hamna kitu kitakachowashusha 'kaskazini' kama hio kujiskia wako smart kuliko wengine..matokeo yake wanarelax wanajiona wamefika wkt Tanzania wote ni 3rd world country[emoji23][emoji23][emoji28]
Sikuzote anayepiga hatua ni yule ambae anajiona hajafika...this applies to jamaa zote ambazo zilihisi kuachwa nyuma wana bidiii mfano hakuna siku hizi
Ni kama vile soko la simu sasa kila kitu ni iPhone na Samsung...ila Nokia na Blackberry ilitamba sana
Mtabaki historia...mark my words
Watasalimika watakaoendelea na bidii na maisha na kuishi vizuri na watu...si zama za ukabila sasa...ts abt value ya mtu na si kabila ama ukanda
Hakuna kitu...hayakusaidiiiLinganisha na maeneo tajwa utapata jibu
Jr[emoji769]
True hawezi fafanua nilichomuuliza kwa kuwa hakuna 'substance'Huyo mshana hawezi kufafanua sababu hiyo mada ameanzisha kwa chuki na ubaguzi kwamba, makabila yaliyopo Chato na Pwani yanafaidika sana na maendeleo.
maana yake ni kwamba watu wa Chato na msoga hawastahili maendeleo, bali wanaostahili maendeleo ni makabila ya Kaskazini yani kilimanjaro na Arusha
Hii nchi ni moja kwa, watu waliotembea duniani hawaoni utofauti wa maendeleo mikoani sababu mikoa yote inalingana tu hivyo watanzania tusianze chuki na ubaguzi kwa vitu vidogo hivyo.
Nchi yetu bado masikini sana kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app