Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Hii ndio inayotofautisha kilimanjaro na maeneo mengine,wana Kilimanjaro wanapenda maendeleo mno serikali inajipatia Kodi kwa urahisi mno inapofanya biashara na wana KilimanjaroAbiria wa treni ya Dar-Kigoma-Dar wamelalamikia kitendo cha mabehewa ya deluxe kuhamishiwa treni ya Dar- Moshi-Dar.
Uchunguzi umebaini kuwa, sababu za kuhamisha mabehewa hayo ni kwamba, treni ya Dar-Kigoma ambayo husafiri kwa siku 3, abiria wanakunywa kreti 20 za bia, wakati treni ya Dar-Moshi inayosafiri kwa saa 16 abiria wanakunywa kreti 150 za bia.
[emoji481][emoji2988][emoji482][emoji443][emoji481][emoji876][emoji14][emoji317][emoji851][emoji1783][emoji481]
Jr[emoji769]
Hivi waziri haruhusiwi kisheria kuweka jiwe la msingi?
Mbona ni kimradi kidogo sana hakina hadhi ya kuzinduliwa na rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumishi hewa walikuwa wa kila eneoAcha kujisifia mdaku wewe . Watumishi wachanga wengi walipika vyeti wametimuliwa . Ndo Mana mnahangaika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaziishi nyakati....!!!!
Jr[emoji769]
Watumishi hewa walikuwa wa kila eneo
Kwamba watumishi hewa wote walikuwa wachaga? Idiot
Mbona wamejaa télé hadi sasa? Pita tra,bandar,ma bank yote,tcra,takukuru ,mikoani,wilayan uone walivyojaa
hao waliotenguliwa Ni 0.005% ya waliopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa wilaya sio sababu.
Je kyamyorwa kuna mikahawa na migomba?
Na huko ni nje kidogo y a uhayani.
Siku msukuma akianzisha makazi kamachumu au bugabo huko ndo nitaelewa kuwa wakazi wameingia uhayani?
Sent using Jamii Forums mobile app
UNA uhakika?
Na maghorofa yao mengine nikianza kukutajia hapa si nitakesha? Mwanza wachaga wana ghorofa nyingi mno, ukienda arusha mjin pale 80% ya ghorofa Ni zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki ulikuwa unanijibu Mimi au mtoa mada? Maana Mimi siio mleta mada. Nimecomment tu kuwa chato iko na ilikuwa mbali zaidi ya msoga. Sasa ulivojibu mambo ya uharo imeonekana kama umenijibu kumbe ilitakiwa umjibu mtoa mada! Ila ni mtazamo wake !
Amina uwe na amani. Nililitaambua hilo
wewe nawe ni shida uliona wapi sehemu iliyoendelea wanaishi wazawa tu ? Nenda popote duniani iwe Marekani, Dubai n.k.Hivi ulishawahi kuona Kiwanja kinauzwa moshi/kilimanjaro?
Hii ndio Tofauti ya Kaskazini na wengine.
Jamani tuwache wachaga.
Kuna vitu wametuzidi sisi wengine.
Cha msingi tukae nao karibu watupe maujanja yao tu.
Nawasilisha
Uduzungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipoweka uzi huu hapa, maana yake usomwe, na coments zitolewe, na asiye na coments asome za wengine au afungue mwingine asome na kutoa coments zake!! Nimetoa yangu kulingana na ulivyo andika.
Ulipoweka uzi huu hapa, maana yake usomwe, na coments zitolewe, na asiye na coments asome za wengine au afungue mwingine asome na kutoa coments zake!! Nimetoa yangu kulingana na ulivyo andika.
Kwa maoni yangu uzi wako unadharirisha watu wakanda ya ziwa na kuwapraise watu wa kaskazini, si vizuri na si vyema!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hiyo para hapo imepitwa kama haijaandika... Kinachojadiliwa kwa sasa ni kitu kingine kabisa... UKABILA... Na unaona nimetaja kwa uwazi kabisa Tanga Moshi na Arusha lakini mada ikageuziwa watani zangu WachagaUlipoweka uzi huu hapa, maana yake usomwe, na coments zitolewe, na asiye na coments asome za wengine au afungue mwingine asome na kutoa coments zake!! Nimetoa yangu kulingana na ulivyo andika.
Kwa maoni yangu uzi wako unadharirisha watu wakanda ya ziwa na kuwapraise watu wa kaskazini, si vizuri na si vyema!!!
Sent using Jamii Forums mobile app