Ndio kwanza tuna improve
Kwa takwimu za serikali za sasa, kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa watu wake kuwa na maisha Bora
Yaani 90% ya Wana Kilimanjaro Wana maisha Bora tunataka kufikia 100% kabisa
Kule kilimanjaro shughuli za maendeleo watu wanachangia Sana mfano vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu haijawahi
TOkea popote Tanzania
Kuna mengi ya kujifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa but huko chato imekuwa too much asee ,msoga cyo saana alafu kikwete hakukandamiza maeneo mengine kwa kiburi na kujiskia Kama huyu meko ,jamaa namfananisha kwa mbaali na mobutu sese seko kuku ngwendu wazabanga ,,kwa mambo yake anayoyafanya
But hapa ni heri aliyenacho aingezewe tu yaani kwa kuwa Kanda ya kaskazini tulishaejielewa mapema na mind u that hatuna kibur ,next time urais utoke kaskazi Sasa ,,,[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshamba Kuna waarabu Koko wa kihaya hakuna mchaga.
Mzee usiforce mkuu.inaonekana wahaya huwafahamu vzr na Tabia zao.
Hakuna kabila linaloweza kusurvive uhayan labda kidogo watutsi ambao nao wamejifanya wanyambo na wahaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana kuna uzi wangu humu nilimuomba Paw au update.
''Ukweli kuhusu kaskazini kujengwa na Wanakaskazini''
Umeandika ukweli Mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe Jamaa ni mpuuzi hivi. Maendeleo ya watanzania leo una maana kila sehemu yanaletwa na watu wa kaskazini ? Mbona mmeshindwa kuifanya Moshi kuwa Jiji au Tanga kuwa jiji kubwa ? Mbona hiyo Arusha bado cha mtoto kwa Jiji la Mwanza? Huko Tanga na umasaini kuna nini cha maana kuzidi Sukumaland ? Nimetembea kote milimani upareni sikuona chochote cha maana zaidi ya vijumba vya hovyo hovyo na migomba isiyo na afya, leo unakuja na post ya kijinga namna hii ! Pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena bora Wamasai Mara 10000 kuliko Wasukuma Washamba.Wewe jamaa sijui hata kanda ya ziwa umeshafika, maana kila unachopost ni uharo tu na kukurupuka. Unalinganisha mmsai na msukuma wewe ? We jitekenye tu hujui kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ni wapuuzi huwa wanapuuza mambo madogo madogo alafu badae wanachapwa nayoNa hapo ndo wanapofeli
Ina maana ktk makada nchi nzima hamna wa kanda nyingine mwenye uwezo?..
Zama hizi u will win me kama unatizama mbele kama nchi tunaendaje na sio ukanda
Hizo sehemu ulizotaja sio uhayan hata kidogoHapo usidanganye. Wamanyema wamejaa Bukoba mjini. Maeneo yote ya kuanzia Shimwanyi, Kyamyolwa, Bi
Burigi na sasa Karagwe wasukuma wametamalaki. Hui ndio ukweli mchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Number moja ni chatoooooooo!Hivi wazo la Nyerere kuwa Dodoma iwe mji mkuu asingetoa je endapo leo tungetoa wazo kama hilo unafikiri tungeshawishi mji gani uwe makao makuu ya serikali ya Tanzania?...(povu ruksa)
Hizo sehemu ulizotaja sio uhayan hata kidogo
Sidhani kama unapafahamu uhayan
Tofautisha uhayani na kagera .Pia bukoba na kagera
Hao wamanyema watajifanya wahaya Tu hawawezi kuishi kama walivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda vya maziwa na products za maziwa mfani Simanjiro pamoja na viwanda vya nyama vinamilikiwa na Wamasai.
Asilimia ndogo ndio inamilikiwa na serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya themanini waziri mkuu tu alitokea wilaya moja ukanda wa kaskazini. Eneo alipotokea kulijengwa barabara zenye kiwango cha lami kila kona huku barabara kuu ya kuelekea kaskazini ikiwa na hali duni. Vijana wengi humu hawajui haya.Natambua wingi wa matukio na harakati za maisha vinatufanya kuangalia mapya bila kutafakari yaliyopita..
Wiki hii kulikuwa na mjadala mwingine baada ya kuzinduliwa Mahakama ya wilaya CHATO ikitajwa kama mahaka kubwa na nzuri kulinganisha na Mahakama nyingine za mwanzo TANZANIA
Tangu awamu hii ishike hatamu mambo mengi ya kimaendelea yamefanyika CHATO... Kwa kutaja chache tu
Traffic lights
Jengo kubwa la Bank ya CRDB
Jengo la mamlaka ya mapato TRA
Mbuga ya wanyama
Uwanja wa ndege
Uwanja wa mpira
Msikiti mkubwa nknk
Malalamiko yamekuwa mengi kuwa kuna upendeleo unafanywa kuipa CHATO maendeleo isiyostahili
Ni lazima tukumbuke kanuni hii muhimu ya BINADAMU kwamba MWAMBA NGOMA NGOZI HUVUTIA KWAKE... Ni baba wa Taifa pekee hayati Mwalimu J. K. Nyerere ambaye alienda tofauti na kauli hii na kidogo akafuatiwa na Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa
Alipoingia madarakani brother Jakaya mambo yakawa tofauti... Akaamua kutumia nafasi yake kuwasaidia watu wa kwake.. Aamejitahidi kadiri alivyoweza kuiamsha Pwani.. Miradi mingi ikipelekwa huko ama Pwani ikipewa kipaumbele... Ombwe halikuonekana sana kwakuwa pia Pwani ni eneo MKAKATI kwa ajili ya kuingia na kutoka Dar.
Hata hivi viwanda vya leo Pwani zilikuwa ni juhudi zake.. Lakini kuna mengine yakawa ni kama hayakuwa na ullazima wa kuyafanya... Leo hii kuna njia mbili za lami mpaka mlangoni kwake pale Msoga... Lakini kuna Msikiti mkubwa mzuri ulijenga pale Msoga barabarani siku hizi umezungukwa na nyasi. Hauhudumiwi tena
Natambua dhima ya kila kiongozi kutaka kusaidia eneo lake ili walau lifanane na kwingine... Natambua fika mawazoni mwao wanataka kuona maeneo yao yakifanana na kaskazini hasa ukanda wote wa Tanga, Moshi mpaka Arusha... Lakini huu ni mchakato mrefu wenye kuhitaji maandalizi na mpango MKAKATI a kina... Kielimu na kubadili mtazamo wa wenyeji wake
Watu wa kaskazini wako vizuri juu na chini pia na wnapenda sana kutumia vizuri fursa zilizopo, ni wabunifu na ni wachapakazi.. Hawana majungu na wanathamini kila kitu kizuri.. Wanapenda UMOJA na kushirikishana... Wanajua vizuri thamani ya elimu ardhi na rasilimali watu....
Maendeleo yaliyojaribu kupelekwa CHATO na PWANI yangepelekwa kaskazini... kisinheharibika hata kitu kimoja na kingetumiwa kwa weledi mkubwa na kuleta matokeo chanya zaidi... Lakini la zaidi huko kote wanaosimania na kujaribu kuleta matokeo hayo chanya bado ni wale wale wa kaskazini!
Kwa mfano Pwani ya JK wenyeji wamebaki kuwa viibarua wapagazi na kazi zisizo na taaluma huku wakiendelea kuuza ardhi zao kwa bei sawa na bure.. Wao wakipata pesa kidogo ni starehe na KUONGEZA wake.
Siwezi kuizungumzia CHATO kwasasa lakini haina tofauti sana na Pwani... Na kuna uwezekano mkubwa sana awamu hii ikiheshimu Katiba na kuondoka madarakani kila kitu kitakufa kule.... Labda wa kaskazini wafanye jitihada kuokoa jahazi kwakuwa maono yao ni makubwa na uelewa wao uko deep zaidi...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtoto aliyekulia nyumba ya nyasi na aliyekulia nyumba ya bati na sakafu...
Nimemaliza...!!!!
Jr[emoji769]
Miaka ya themanini waziri mkuu tu alitokea wilaya moja ukanda wa kaskazini. Eneo alipotokea kulijengwa barabara zenye kiwango cha lami kila kona huku barabara kuu ya kuelekea kaskazini ikiwa na hali duni. Vijana wengi humu hawajui haya.
Mafuriko hata marekani,uingereza yapo Tena Yana mfuko maalumu kukabiliana nayo
Kwahyo chato na kilimanjaro ipo sáwa?Huo ni upuuzi bro eti yale ya chato yangepelekwa kaskazini kisingeharibika kitu, acha ujinga wewe hata huko chato hakitaharibika kitu usijifanye kwenu mnaakili sana kuliko watu wa chato
Kanda ya ziwa? Mbona Nina biashara nyingi tu huko?Wewe jamaa sijui hata kanda ya ziwa umeshafika, maana kila unachopost ni uharo tu na kukurupuka. Unalinganisha mmsai na msukuma wewe ? We jitekenye tu hujui kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app