Mkimzingua ataunda chama chake

CC M dume la mbegu , hakuna chama kinafurukuta ama uunge juhudi, ndio kama hivi tunaona [emoji1787][emoji1787]
Mataga kujeni huku kuna mtani wenu
 
UNAMKUMBUKA ALIYEKUWA RAIS WA MALAWI ALIUUNDA CHAMAFASTA MUDA MFUPI KABLA YA UCHAGUZI NA AKASHINDA
 
Uzuri hilo kundi la washamba halijawahi kushinda lolote humu mitandaoni maana tupo waelewa wa kutosha. Hao washamba wa MATAGA huwa tunawalambisha mchanga kila mara, toka enzi za yule dhalimu wao.
 

Ni sukuma Gang kweli, hao wasukuma wakijichukulia ni wao wote hiyo ni juu yao. Kama walikaa kimya wakati kabila lao likitumikia taswira chafu, itabidi wakae kimya na sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…