Mkimzingua ataunda chama chake

Hii ndiyo hasara ya kumwabudu na kumnyenyekea binadamu badala ya Mungu! Yaani watajua kuwa hawajui Safari hii! Tulikula mwata miaka sits na kubatizwa jina jipya la wanyonge na Sasa ni zamu yao ya ubatizo na wapewe jina linalodhalilisha ili wakajifunze mbele!
 
Hapo umesema mkuu. Mama akae kwa amani kabisa sisi huku mtaani tutamlinda mpaka tone la mwisho la damu.
 
Huwa una kawaida ya kuandika porojo sema tunakausha tu.
Umemuumiza, mwache Alie kwa uchungu wa maumivu anayoyapata! Nami nimuongezee kifinyo ili Alie vizuri ya kuwa mungu wake is no more!
 
Ha ha ha ccm oyeeee! Chadema Wameshaunga juhidi , ccm kiboko yao mama Samia chapakazi ,
 
Mmmh, can it be possible?

Kwa kweli tumezoea kuyaona haya uliyosema ktk nchi za wengine, sitashangaa ikitokea hapa Tanzania pia..

Hata kiongozi mkuu (Rais wa nchi) kufia madarakani tulizoea kuona ktk nchi za wengine, lakini 2021 imetokea Tanzania..!!

Kwa hiyo, tunaweza kuona mambo yenye sura ya miujiza kabisa yakitokea ktk Tanzania hii.

Tutaona impossibles zikigeuka kuwa possibles...

Naweza kusema bila shaka yoyote kuwa, kuna dalili za wazi sana, kuwa, Mungu alikuwa na kusudi maalumu kumruhusu Bygone John Magufuli kuingoza Tanzania kwa staili ya mkono wa chuma na kuivuruga vuruga nchi hii kama njia ya kwenda kwenye restoration..

Baada ya hapo akaruhusu mauti imchukue ili kuruhusu ukombozi wa pili wa Tanzania..

This is coming for sure..
 
Ha ha ha ccm oyeeee! Chadema Wameshaunga juhidi , ccm kiboko yao mama Samia chapakazi ,
Ccm ipi mojawapo?
Asili
Maslahi?
Makinikia?
Au ccm ya bimkubwa?
 
You get me very well though mataga wengi watakuambia hizi ni porojo
 
Hiki kipindi uzuri tunaofaidika ni wengi kuliko zaman make ishakuwa zaman hatuna namna
Kwa mfano wengi wanafaidika na nini ?
Binafsi mimi sioni cha kufaidika nacho, lakini maisha yanaendelea.

Au wewe mwenzetu unafaidika na nini, ili na sisi tufaidike.
 
Umemuumiza, mwache Alie kwa uchungu wa maumivu anayoyapata! Nami nimuongezee kifinyo ili Alie vizuri ya kuwa mungu wake is no more!
Umemchanganya ndugu yako hajui akujibu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…