Mkimzingua ataunda chama chake

I have taken a U-turn kama huyu mama anasema ni viji Tv vya mikononi na si magazeti, basi tuna hasara tupu. hamna kitu hapa CCM ni ile ile. Tujiandae mwendo wa watu wasiojulikanana kila mabaya ya Jiwe yako pale pale!
 
I have taken a U-turn kama huyu mama anasema ni viji Tv vya mikononi na si magazeti, basi tuna hasara tupu. hamna kitu hapa CCM ni ile ile. Tujiandae mwendo wa watu wasiojulikanana kila mabaya ya Jiwe yako pale pale!
Katishwa bimkubwa katishika
 
Mkuu Leo ndo nimejua hao CCM Ni kiboko. Yani Vijana mmesahau kabisa Siasa Sasa mnapambana na marehemu na hicho Chama cha mapinduzi kinashika Kasi na Mwenyekiti wake mtarajiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Mnajiita Wapinzani mmekosa mwelekeo Sasa mnaota ndoto za mchana.

Ushauri wa bure, kutaneni jengeni vyama vyenu ili muwe na mnaposimamia. CCM inawapiga bao la Hatari Lakini mnajikuta mna akili kuliko wao. It very sad.

Inatosha kuwa Mtanzania na kusimama na nchi yangu. Nilipo nje huku more than 10 years, nimejifunza hata iweje siwezi dhalilisha nchi yangu. So long watu wanakula wanashiba na Hakuna cha ajabu. I will continue to treasure and appreciate my motherland. Sasa Niko na Rais Wangu Mama Samia, Nitakuwa naye na kumsupport Kama Mtanzania. Vimajungu tutapiga Lakini na watanzania wenzangu wakati tunapiga tubottle. Maisha mafupi. Ukilala na kuamka na mawazo ya utunge Nini ili uonekane mtu wa maana Ni UJUHA wa kiwango cha Lami. JPM ameshafariki. Mjitahidi kumove on. Muwe na sera ya Nini mnakisimamia. Hakuna chama cha upinzani duniani kinachokaa na kusifia Rais wa chama tawala. Wapo kila siku kutafuta sera mbadala. Ujerumani Sasa watu wanahimiza utaifa na kuona Merkel as if kuwachukua wakimbizi wengi ameharibu maisha na kipato cha watu. Kuwa mgeni sio jambo la kujivunia. Kuna wakati unapita mtu anatema mate. Sio wote ila ndo ukweli. Chuki Zingine unaziona kabisa. Lakini nipo kihalali na nafanya Kazi, I earn my euro
nakula na Familia yangu. Jifunzeni kuwa constructive. Move on. Mama Samia Ni CCM. NEVER FORGET THAT. Na Kwamba hata kama wana makundi haitawafanya wawakumbatie Wapinzani kwenye uchaguzi.

Kosa kubwa sana Vijana Ni kusahau ukongwe huo wa CCM una mizizi na jichooo. Sasa woteeee mmehamia CCM. Na kujifariji kuwa Samia Ni Rais wa Tanzania bila CCM. Bado hatujawa na taratibu Hizo. Madam P. Samia Ni mwanachama wa CCM. Aligombea umakamu na mwenza Wake JPM kwa TIKETI YA CCM. Akshinda kwa TIKETI YA CCM, akaja kupata URAIS KWA KUWA ALIKUWA MGOMBEA MWENZA NA MAKAMU WA RAIS WA JMT KWA TIKETI YA CCM.

So acheni kwa Amani ya roho zenu kujifanya CHADEMA and then CCM. Ila sishangai Kesho mtakula maneno yenu. Hata JK aliporuhusu muongee huko kwenye maandamano uliskia sifa yoyote. No ni matusi na kashfa. Leo hata ZITTO anasifia, unajua why kwa kuwa hamkuwa na sera. Mitandaoni hamkuitumia kuelimisha watu na kunadi sera Bali matusi na kudandia hoja za MTU MMOJA. Na Bahati nzuri au mbaya Sasa bado mnatembea na mtu na kukiacha chama salama. That’s what happened in 2015. JPM. 2020 JPM .

LINI MTAACHA KUCHEZA NGOMA YA CCM. MAMA kawasoma then Kajua watoto wa kambo wanataka Nini tumabadilko ka watu nk. Then watacheza Wimbo wake. By the way she is a Gem
and she will do well in her capacity BUT kuendelea kwa Tansania Ni Kazi yetu. Tufanye Kaziiiiii. Sehemu ya Rais Ni ndogo sana kama Sisi hatutabadilika. Sisi Ni wote. Watendaji na watu wote.

CCM NI ILE ILE OHHH NI ILE ILE.
 
Huna cha kuwafanya wasukuma hata kama huwapendi.

Rais Samia ndiyo kwanza kawaongeza kwa kuwateua kwenye serikali yake.
 
Aisee tumpe muda me nina shukuru nimepata usingizi maana sijapata usingizi miaka mitano iliyopita.
Kila siku unawaza kuvamiwa na TRA na kuporwa!
anaanza kuyumbishwa, hili la magazeti ni dalili kuwa hawezi. Hili jambo dogo yakija makubwa ya katba inakuwaje? hwzi kabisa
 
anaanza kuyumbishwa, hili la magazeti ni dalili kuwa hawezi. Hili jambo dogo yakija makubwa ya katba inakuwaje? hwzi kabisa
Mkuu lazima kuna kitu alikumbuka pengine watu wangedai fidia kubwa kwa kufungia bila kufuata taratibu!
Bado ana muda nina hakika adi sasa ana nia njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…