Kuna Rais wa kanchi kamoja amechokoza jamaa wa media amepigwa za uso leo huku JF mpka siku yangu imekuwa nzuri .kweli jamaa jamii haimkubali kabisa sifa mbaya sana
Hatujakupata
Alofunga gidamu za mwana mfalme. Cheki mawio
Kwakuunga kamba za viatu namna ile si hajabu hata saburi akishikwa anachekelea