Asaiv tu ani imeingia namalza kusoma hii uzi imeingia SMS yake ya "Niambie" Aiseeh huwa na mind sana hi....Hivi hili neno "niambie" mbona linapendwa sana kutumika hasa na wadada kwenye kuchati, tena kifupi sana...!!?
Unakuta bint anakutext au unamtext sms ya pili yeye kujibu ni neno "niambie"
Sometime neno hilo me nahisi huwa linawakera wengi tu ila wanashindwa kuwafungukia hao wanaowajibu hivyo...
Mbaya zaidi ni kila wakati hata iwe umepiga simu utasikia " niambie"...
Kwangu me ukiwa unalirudia rudia hili neno wala siendelei kuchat!
Naona hata kama kuna mwanaume anapenda kutumia hilo neno mara kwa mara abadilike!
Mapovu ruksa...
Matusi marufuku, mods wapo kazini leo wamekula pilau makinikia!
Aaaah! Mkuu sina time nae mimi kwanza, hilo neno tu la "Niambie" uwa nikiona mtu kalituma waga linanitoa kwenye mudi kabisa ya kuchaty na naamua kuingia tu humu JF kufree stress zangu...Mpe link asome huu uzi...
NiambieNimecheka hiki kipande aiseeeew duh!!!
Mie napenda kulitumia huko neno ikiwa nmempigia au kumtext mtu,nikaekeza mambo yangu nikimaliza then nitamuanbia niambie in case ana lolote akinambia hamna jipya basi tunamaliza mazungumzo.
Ar u xure we both are men?Mwanaume huwezi mtamkia men mwenzako "nimekumic"!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe tenaaaaNiambie
Ndio dawa yao mkuuKuna mmoja nimetoka kuongea nae sasa hivi...karudia hizo niambie kama mara 9 hivi...nmemkatia cm kapiga tena sijapokea!
Huo muda haupo, ila sometimes unaweza ukawa busy ma ishu za maana, umakuta missed calls hata 9 hivi, haya unaamua kumpigia au ndio kapiga mwenyewe mara ya 10 hiyo unaamua kupokea... baada ya salamu tu utaskia "Niambie" hapk yani ndio kamaliza hana point licha ya missed calls zote hizo....... Inaboa sio kidogomuda wa kuchat hovyo na mabint usawa huu unatoa wapi?