Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

Heche kasema kama kinakufa wacha kife yeye kesha kula mpunga wake.
Kwakweli timu Mbowe wanajilaumu sana kuwaachia hawa wavamizi kuja kukiuza chama!!!
 
2020 palikuwa na mafuriko leo ni 2025.

Mafuriko yawe katika kuchukua hatua sio kujaza uwanja jua lizame. Mikutano ya injili pia ina mafuriko. Eneo hilo hilo akija ccm naye anajaza. Mafuriko ni hadaa.
 
"CHADEMA imekufa, CCM tunasonga mbele, kazi na utu"

Gi074EeWIAAwiTD.jpeg
 
Ila CCM 🤣🤣🤣hiyo imewekwa kama comparison ya nyomi la lowasa kushoto na nyomi la heche kulia, mapang'ang'a kweli nyie!! Halafu si mlikua mnaimba mapambio enzi za jiwe kua CDM imekufa mara mpaka 2020 itakua imekufa? 🤣🤣🤣🤣 Jinga kbs!!
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

View attachment 3334373View attachment 3334374
 
Picha imepigwa kimkakati Ili tuone ni nyomi
 
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA

Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani

View attachment 3334373View attachment 3334374
Mapimbi inakufa na mnaogopa kubadilisha sheria.
 
Back
Top Bottom