Mkewe adai waachane

Mkewe adai waachane

Lazima kuna sababu kuu katika malumbano hayo. Chanzo kikijulikana kitasaidia kupata suluhisho.
 
Me huwa naogopa sana mwanamke ambae tukikosana tu anatishia kuachika,ujue huyo tayari ana kidume huko nje kinampa kiburi,akianza tu namwashia namwashia full lights.
Pia huyo mwanamke wake ana asili ya uchafu na ana akili za kushikiwa.

Kweli binadamu tunatofautiana sana, Muraaaa hii kitu kweli unaweza isikia kule kwetu mkuu. Hapo si tungelikuwa tushafanya maamuzi magumu kitambo tuu. Mwanamke vyombo vipo chumbani siku nne kisa mume hataki kuosha. Haya mapenzi sijui ni nini aiseee.
 
huo ndio mrejesho wa gender balance na weman empowerment..kero 2pu!
 
Bhamuraa, namulora yule mugasi wa ndugu aisee wa kawaida sn bt anaonekana jeuri na mwanaume uklegeza utako hakika atakuwowa i mean atakuendesha sana,kabila ni muha. Jamaa anasema yeye anamuachia Mungu kila ktu,kngne kuna watu huwa wanasema mwanamke huwa anajaribu may b akikwambia saidia osha vyombo nawe ukaosha bas ujue kesho utaunga mboga,keshokutwa utafua zako na zake huu ushenz tamkata kndafu mtoto wa mtu,sku hakuna ndoa weng wa wanawake wapo kmaslah sn kama mtu anabsha oa mwanamke zen ltokee njemba lenye verosa lianze kummendea uone kama halitakupgia,wake hawa wa dotcom unakuja na rafk yako unamtambulsha rafk akmtaka anapga shemej ake au kaka mtu au mdogo mtu aktaka anakupgia mkeo kudadadeki ningekuwa mimi ndo huyu jamaa zaman namtupa nje hata usku wa manane mtu anasema yuko radhi akat.ombwe nje kuliko ww,je huko kazn tena mwl.si wanabnuana sn hawa.
 
Chanzo hasa cha tatizo hakijaelezwa. Kuna mambo mengi zaidi ya "kutoosha vyombo na kufanya usafi". Mwambie nduguyo aweke bayana chanzo cha matatizo yao..
 
Miaka 7 bila ndoa!!!!!......halafu unfanyiwa visa hivyo aiseee duniani kuna watu wana ujasiri wa ajabu
 
Chanzo hasa cha tatizo hakijaelezwa. Kuna mambo mengi zaidi ya "kutoosha vyombo na kufanya usafi". Mwambie nduguyo aweke bayana chanzo cha matatizo yao..

chanzo kpi mkuu, mbaya zaid eti wameokoka, hata kama kuna chanzo kwel ndo mkeo asioshe vyombo wala kufanya usafi mbaya zaid mwanamke anamtolea maneno ya kutiwa nje kwel na kwann mkewe kila wakpshana anadai waachane,sasa unaish na mwanamke aliyetayari kuachana na ww just imagine unadhan nn ktaendelea hapo? Nameogopa sn kuoa aisee maana najijua nsivyokuwa na masihala na mademu si wa kulealea kabsa vngnevyo atakupga marufuku wazaz wako na nduguzo wasfke kwako,haya yanatokea sn dunia ya leo,mtu kaoa ksa mke kamkamata kakosana na ndugu,jamaa,rafk,wazazi.
 
Kngne mdau anadai hata tendo la ndoa mkewe hatoi, akfka ktandan mke hatak kuguswa jamaa akiulza mbona hvyo mke anadai amechoka sasa n kila sku mpaka jamaa anasema wakat mwngne anatumia maguvu mpaka agegede out of hapo hapati na hata akmpa anamsusia i mean anamwambia fanya haraka mi nlale huko, jamaa hapa anapga hesabu za kuondoka kmyakmya na mtoto wake ampeleke kwao tu.
 
Mkuu kwani huyo rafiki yako ana matatizo gani? msaidie amtimue huyo mwanamke haraka sana, hamfai. mbona kitaani wanawake wengi tu, mwambie huyo siyo saizi yake. Amruhusu aondoke!
 
Bhamuraa, namulora yule mugasi wa ndugu aisee wa kawaida sn bt anaonekana jeuri na mwanaume uklegeza utako hakika atakuwowa i mean atakuendesha sana,kabila ni muha. Jamaa anasema yeye anamuachia Mungu kila ktu,kngne kuna watu huwa wanasema mwanamke huwa anajaribu may b akikwambia saidia osha vyombo nawe ukaosha bas ujue kesho utaunga mboga,keshokutwa utafua zako na zake huu ushenz tamkata kndafu mtoto wa mtu,sku hakuna ndoa weng wa wanawake wapo kmaslah sn kama mtu anabsha oa mwanamke zen ltokee njemba lenye verosa lianze kummendea uone kama halitakupgia,wake hawa wa dotcom unakuja na rafk yako unamtambulsha rafk akmtaka anapga shemej ake au kaka mtu au mdogo mtu aktaka anakupgia mkeo kudadadeki ningekuwa mimi ndo huyu jamaa zaman namtupa nje hata usku wa manane mtu anasema yuko radhi akat.ombwe nje kuliko ww,je huko kazn tena mwl.si wanabnuana sn hawa.

Siga bharitombere go, ni mumu mno.
 
Duh huyo mwanamke ni mchafu na mvivu wa kufikir ushindane na mme wako anaetafuta kula yk kaz ipo dawa yake ni mke mwenzie atajiongeza
 
Mkuu kwani huyo rafiki yako ana matatizo gani? msaidie amtimue huyo mwanamke haraka sana, hamfai. mbona kitaani wanawake wengi tu, mwambie huyo siyo saizi yake. Amruhusu aondoke!

yuko poa tu kaka, sema kashka sana dini ndo alikuwa kwenye mchakato wa kubariki ndoa japo mahali kalipa,nmeshamshauri amwache haraka sana kosea vyote bt c kukosea kuoa.
 
Back
Top Bottom