Mkeo wa Kesho

Mkeo wa Kesho

duuuuuuuuuh, umefikiria nini kuandika haya?? POINT SAANA
 
hahaha, hiyo kwake, je wewe hujachezewa shem? mwanaume unaemchezea leo ni mwanaume wa mwenzio wa kesho ati.

Sasa mimi si nilikuwa nachukua twisheni...we unadhani nani angemfundisha dadayo kama sio mimi heheh!!!
 
Ukitaka aliye tulia,tulia wewe kwanza.

Bado hivi vitu havitegemeani kabisa mkuu wangu nakwambia!

Haya mapenzi yana mikasa yake utacheka na kupasuka mbavu....

Kikubwa ni kuishi kwa amani tu na vile inavyokupendeza, hayo mengine unayakuta na kupambana nayo kama inavyokupendeza vilevile!
 
And what is the reality?
Am still young,give me a clue.

It never works that way! simple

Yule player ndo anampata bikra.

afu yule aliyejitunza ndo anampata demu kicheche..learn to flow with the current bro!!!!!
 
Si wote wanaoolewa, wengine ni mapambooooooooo tu.
 
hahaha, hiyo kwake, je wewe hujachezewa shem? mwanaume unaemchezea leo ni mwanaume wa mwenzio wa kesho ati.

Sasa mimi si nilikuwa nachukua twisheni...we unadhani nani angemfundisha dadayo kama sio mimi heheh!!!
 
unatushauri nini,ili kuacha kuchezea wake za watu?hakuna kitu kama hicho watu wanachezeana,,,,,,,,,kavua mwenyewe pichu au boxer then kamsaidia kijana kufungua vishikizo vya shati na mengineyo,,,,kama haitoshi kaweka mguu pande halafu mwisho wa siku aseme kachezewa badala ya "kuchezeana",,,,,,,tabia ya mtu ni kama ngozi mbona kuna watu wanaolewa wakiwa sealed it means wenyewe wanaishi sayari ya jupita?

Maisha ya mbele ni fumbo hivyo basi ukipata tumia na ukikosa jutia.
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia virginity ni lack of oportunity?
 
aaaaaah, mie nataka mtu mwenye experience miaka isiyopungua mitano tena awe amedate atleast mabinti kumi. ujue ni shida sana kuwa na mtu hana uzoefu. lol

Dhu........kazi ipo
 
f.u.u.c.k this theory...i used to think like u way back wen i was 18...grow up ndo ujue reality ya maisha!!!!!!!

I agree with you mkuu, kuna vitu vingi mtoa mada havijui kuhusu mahusiano
 
kwani huyo mmoja una guarantee kwamba utadumu nae maisha yote

Kuna tofauti sana kati ya njia unayo pita peke yako kila siku,na njia
waliyo pita watu 20 kwa mda flani.
 
[.
Ukitaka aliye tulia,tulia wewe kwanza.[/QUOTE]

:target::target::target:

Yaaani haswaaaa
 
Back
Top Bottom