shem mambo?
Poa shemeg habari ya uzima wako?
Yaliyopi ta si..............?kama kuna watu wanachezea wanawake mmuaache mara moja...mbona ata w..e..m..a anaweza akawa mke mzuri tu achana mambo za historia...
nzuri shem, hofu kwako, kwa mkeo na watoto.
najua anapewa maujuzi na maeksipiriensi
Mwanamke unayemchezea leo, ndio mke wa mwenzako kesho!!!!
Je?? Unamjua mke wako wa kesho anafanywa nini leo??
heheh hawajambo wote hao...halafu shem unajua dadayo nilimbuku kabisa...hakuna aliyemchezea lol
unatushauri nini,ili kuacha kuchezea wake za watu?hakuna kitu kama hicho watu wanachezeana,,,,,,,,,kavua mwenyewe pichu au boxer then kamsaidia kijana kufungua vishikizo vya shati na mengineyo,,,,kama haitoshi kaweka mguu pande halafu mwisho wa siku aseme kachezewa badala ya "kuchezeana",,,,,,,tabia ya mtu ni kama ngozi mbona kuna watu wanaolewa wakiwa sealed it means wenyewe wanaishi sayari ya jupita?
Maisha ya mbele ni fumbo hivyo basi ukipata tumia na ukikosa jutia.
aaaaaah, mie nataka mtu mwenye experience miaka isiyopungua mitano tena awe amedate atleast mabinti kumi. ujue ni shida sana kuwa na mtu hana uzoefu. lolhahaha,hutaki kua mwalimu we mwenyewe?
Niko tofauti sana,sitaki experience yako hiyo.
Nataka tuitafute wote. Tuanze tukiwa washamba wote,sio lazima awe bikra,atleast awe
"Haja tumikishwa" sana.
hahaha, hiyo kwake, je wewe hujachezewa shem? mwanaume unaemchezea leo ni mwanaume wa mwenzio wa kesho ati.
Sasa mimi si nilikuwa nachukua twisheni...we unadhani nani angemfundisha dadayo kama sio mimi heheh!!!
kwani huyo mmoja una guarantee kwamba utadumu nae maisha yoteUsiruke ruke,tulia na mmoja,mheshimu uliye nae hata kama unajua mnapeana "kampani"
maana unavo mtendea huyo,ndivo anavo tendewa wako aliko.
Usiombe ukutane na mke/mme aliye na makovu ya mahusiano.