Mkeo wa Kesho

Mkeo wa Kesho

Kuna tofauti sana kati ya njia unayo pita peke yako kila siku,na njia
waliyo pita watu 20 kwa mda flani.

huwezi kujua hicho kitu kama hujawa nae,labda uoe bikira ndo useme emepita peke yako otherwise huna guarantee
 
Bado hivi vitu havitegemeani kabisa mkuu wangu nakwambia!

Haya mapenzi yana mikasa yake utacheka na kupasuka mbavu....

Kikubwa ni kuishi kwa amani tu na vile inavyokupendeza, hayo mengine unayakuta na kupambana nayo kama inavyokupendeza vilevile!

Duh,naomba nipate hekima kama yako.
Lakini imani yangu bado ni kwamba unalo tenda una tendewa pia kwa upande mwingene.
 
Duh,naomba nipate hekima kama yako.
Lakini imani yangu bado ni kwamba unalo tenda una tendewa pia kwa upande mwingene.

Walk and see bro...walk and see!!!!:bathbaby:
 
Hahaaaaaaa.........na wewe wapewa maujuzi na maikspiriensi

siku mkikuttana full equiped na silaha za maangamizi..........

tatizo la wanaume ukiwa mjuzi sana kwa bed anakuona ma.laya na ukiwa mkusanya mashuka anakuita gogo, hawajielewi nini wanataka
 
Mwanamke unaemchezea leo ndio mke wa mwenzio wa kesho, na jee unajuwa mke wako wa kesho leo wanamfanya nini?
 
Mie nipo psmoja nawe hiyo kitu hain makombo wala kipimo kwani Mungu alifanyahivyo mskusudi'laa isingekuwa hivyo tungeangamizana wenyewe.inatakiwa siku zote umthamini sana mkeo na huwezi pata mke aliye malaika.
 
wapo wanao oana bado slled na wenyewe je?nikuomba MUNGU coz mke mwema,mme mwema wanatoka kwa MUNGU
 
Back
Top Bottom