Mkeo tulishawahi............... Wote

Mkeo tulishawahi............... Wote

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,244
MUME: Aise tafadhali salimiana na mke wangu Fulo
JONI: Dah kumbe huyu ndie mkeo, namfahamu sana
MUME: He umemfahamia wapi tena jamani?
JONI: Fulo na mimi tulishwahi kulala wote si tukakamatwa
MUME: Umesema nini we mshenzi?
JONI: Tulikuwa darasa moja praimari, tukalala usingizi darasani wakati mwalimu anafundisha,akatukamata, tulikula mboko za nguvu.
 
aaaah vichwa vya shingo tuuuu.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom