Mkeo akivaa hivi ni sawa?

Mkeo akivaa hivi ni sawa?

Atavaa na kama tuna usafiri binafsi ndiyo itapendeza zaidi
 
Kama wewe ni mwanaume make wako anavaa nguo ambayo inachora umbo la ndani au anavaa suruali imechanwa mapajani wote na mkeo hamna akili, na hamustahili kuitwa mume na mke bali munastahili kuitwa wahuni
Nakubali mimi Muhuni,sina akili,nk nk majina yote niite

ila mke/mpenzi wangu hawezi vaa hijab wakat tuko beach...
 
Atavaa na kama tuna usafiri binafsi ndiyo itapendeza zaidi
Na mimi natia nia, nitakuwa wa kwanza kumnyandua mkeo yani kwa kifupi nitakuwa nakuibia buddah!

We baunsa akili zimekimbilia kwenye mikono😁
 
Kuna siku tulikuwa tunaongea na dada muislamu na mume wake muislamu kuhusu mavazi. Nilishangaa sana aliponiambia mawifi ndiyo wanaompigia kelele kuhusu kuvaa nguo za kufunika mwili wake na mume anamwambia you have a perfect body why should you hide what you have? Na hawa ni waumini wazuri sana wa kusali sala tano.

Bora hivyo mkuu ila huyo amejidhihirisha rasmi kuwa ni popo mwandamizi
 
Kama ni suala la Mke big No, kama ni mpenzi pia nitampa my intake na kuangalia kama kuna mabadiliko coz nakua sina mandate kwake. Ila heshima na hadhi ni muhimu kuwa maintained kwa Mila za Kiafrica.
 
Kuna siku tulikuwa tunaongea na dada muislamu na mume wake muislamu kuhusu mavazi. Nilishangaa sana aliponiambia mawifi ndiyo wanaompigia kelele kuhusu kuvaa nguo za kufunika mwili wake na mume anamwambia you have a perfect body why should you hide what you have? Na hawa ni waumini wazuri sana wa kusali sala tano.

Huyo jamaa ukiona hivyo ujue kashazoea kuwa na mapopo ndio maana anachukulia poa,mke wako wa ndoa huwezi kumruhusu kuvaa mavazi hayo mbele ya kadamnasi,hayo ni mavazi ya chumbani,sio hadharani,akivaa hivyo mbele za watu lazima hata hiyo hadhira ijajadili hayo mavazi in negative ways
 
Mkuu ME wanaotofautina kuhusu mavazi wanayovaa wapenzi wao. Nakumbuka humu kulikuwa na mdada jina kapuni ambaye aliwahi kuandika kwamba mume wake alikuwa anamnunulia kaptula za kuvaa na kumwambia ana miguu mizuri hivyo kuna sehemu wakienda kama vile beach mume alipenda mke avae kaptula.

Basi anatakiwa aache tabia hizo kwani anahatarisha sana mahusiano yake yeye mwenyewe,ujue mkuu wanaume wengine wakimtamani jinsi alivyoumbika hawarudi nyuma,ni ving'ang'anizi balaa,akinuia jambo lazima alitekeleze,na wana ushawishi sana hivyo risk ya kugongewa ni kubwa mno,kwa hiyo hapo akili kumkichu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom