Acha mbwembwe kijana. Unaenda kumchuuza wapi?Anavaa yeye kama kitu moyo wake umeridhia na una amani
mimi n nani ku disturb furaha na amani ya mpenzi/mke wangu?
Mpenzi sawa ila Mke hapana.Au mpenzi wako?View attachment 1519604
Acha mbwembwe JoooAnavaa yeye kama kitu moyo wake umeridhia na una amani
mimi n nani ku disturb furaha na amani ya mpenzi/mke wangu?
Nimeshiba ghafla kwa hizi comments zako.Anavaa yeye kama kitu moyo wake umeridhia na una amani
mimi n nani ku disturb furaha na amani ya mpenzi/mke wangu?
Hata mimi kwangu hapati hiyo nafasi,lakini sishangai ninafanya kazi na wake za watu mapaja yako nje mpaka unajiuliza mwenye mke hayupo!Sijui wanaume wengine huwa wanafikiriaga nini,hivi huoni kuwa unamuingiza mkeo sokoni bila kujielewa au unafikiri unawakomesha,kumbuka in your absence wanaume wanafuatilia mkeo at any cost,na tuache kujidanganya kuwa wanawake wengi ni wagumu hivyo tunavyodhania mbele ya pesa...Mpenzi sawa ila Mke hapana.