mandela1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 837
- 600
PointMmh. Nakupunguzia likes za kwangu Mkuu. Haya sema anakuwa na jambo gani?
Najua mtasema pesa lakini saa nyingine waeza kuta ana mawazo mazuri na ya kujenga tu ila uso wako ulivyopokea hilo swali ukasababisha aghairi.