Mkeo Ajambo??imenitokeya puwani!!mwenzenu kah!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkeo Ajambo??imenitokeya puwani!!mwenzenu kah!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dazipozi, Feb 13, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dah!wapemba Noma,Nina rafiki yangu Mpemba tumezoeyana sana,Nakutaniana kwa sana yani tena zaidi.Basi leo Asubui ndo kimenuka nimekutana nae maeneo ya kazi kama kawa tulivyo onana tu tukapeana salamu kama kawa basi nikamwambia"Vipi kaka Mkeo Ajambo?".Mama yangu kwanza alinicheki kwa jicho kari uku amekunja sura na macho yakawa mekundu,uku akisema"Nakuomba tuweshimiane sawa wewe?".Uku mimi nacheka nakumwambiya"kaka vipi?mbona hivyo?"akasema"yani katika siku umenivunjia heshima leo"
  "kivipi?"
  "unajuwa pemba ni dhambi kusema Mkeo Ajambo?".Dah!yani nilichoka uku macho yakanitoka tena akasema
  "Yani ukome kabisa,bora ungesema mama watoto wako ajambo?kuliko kusema mkeo ajambo?".Basi nikabidi niondoke uku na maswali kibao kichwani kumbe ndugu zetu Wapemba ukisema Mkeo ajambo tusi dah!haya bana siku Njema,Mx
   
Loading...