Mkenya 'Kihiyo' aongoza shule ya kimataifa Dar es Salaam

Na taarifa zilizopo ni kuwa Singaile CV yake inaonesha ana diploma ya ualimu lakini ni MTU wa cheti...Siku Uhakiki ukifika shule binafsi basi akina Singaile wanalo tena sio dogo...
 
Kuna mkenya mmoja ni head master wa shule moja mkoani Arusha, aisee,nilisikia anavuta almost 10,000,000 per month na huduma zingine bure kutoka kwa mwajiri wake. Yaani watanzania tunakubali wakenya wachukue maslahi ya juu kwenye nchi isiyo yao huku mbongo akiambulia vijilaki kwa mwezi.
 
Hahahaaaa mshaha

A maelewanioooo mpwaaa

Ndioomanaaa UKIENDA SINZA MWANAMKE YULE TULE UNAPITIA KWA 5000 MWENZIO ANAKUJA KULIPA 20000--IMIOOOOO
 
LABDA KUONGEZEA AMENUNUA MAGARI SABA DOUBLE COASTER HAYA MAGARI YANAFANYA KAZI ZA SHULE JIONI YANA BEBA ABIRIA BILA KIBALI PALE MAWASILIANO NA YANAPOSIMAMISHWA HUTOA KIDOGODOGO NA KUENDELEA NA SAFARI

HILOO DOGO MAGARII HAYA HUSIMAMA PALE MWANZO WA DARAJA KUANZIA SAA TATU USIKU YAKIWA NANEMBO YA HILO KANISA KABISA PESB... NA HULIPISHA WANANCHI 1000 KUFIKA TEGETA NAOMBA NIWAWEKE WAZI SIHIOO TU WAPO JAMAA WANAJIITA KILIMANI SEC SCHOOL
SERIKALI IMESEMA MIHULA MITATU WAO WAMEWEKA MINNE WANALIPISHA LAKWANZA MILION MOJA NA LAKI TISA IHANITHI MTUPU NA HAWA NIWAKENYA

MABASIYAO JIONI YANAENDA NJIA YA YA UNUNIIOOO.. NAMENGINE USIKU HIKAA PALE MWENGE SHIDAMOJA KUBWA WANAKULA SERKLI ZA MITAA NA HATA UKIENDA POLISI KULLAMIKA KAMA WANAJUA HILO TATIZO NSHIDAKUBWA.....

RELX N ENJOY
Mengine siwezi kuingilia Ila msimamo wangu ni kuwa lazima Wakenya na waganda wasio na working permit waondoke nchin ili kulinda ajira za wazawa.
 
Duh thread ilivyobadilika hats sijaelewa...pole mtoa mada.

Labda credibility ya gazeti pia inahusika? [HASHTAG]#sijui[/HASHTAG]
 
Mleta mada, unaonekana una hasira sana baada ya kufukuzwa kazi hapo shuleni kwa sababu ya kula ada bila kupeleka ofisini.

St. Columba's ilikuwa ni shule bora za English medium, japo kwa sasa imedoda kwa sababu ya watu kama nyie.

Shule ni ya kanisa, lakini mlikuwa mnachukua rushwa kusajili watoto.

Mlikuwa mnachukua ada kutoka kwa wazazi kama cash na kuzila badala ya kumwambia mzazi apeleke bank. Mbaya zaidi mlikuwa mnatoa risiti fake.

Juzi tu wala rushwa wote wamefukuzwa kazi hapo shuleni, sasa mnalialia kwenye mtandao.

Maisha ni sehemu yoyote ile sio lazima hapo shuleni.

Binadamu bwana.
Pamoja na yote uliyosema, huyo kihiyo ni wa kutimuliwa hapo shuleni. Sio kwa sababu zingine zaidi ya kukosa sifa za kushika nafasi hiyo.
 
Tena huyo sasa hivi anakesha immigration ili David aliyejitoa mhanga kumuumbua asirudi tena shuleni.

Wewe darasa linatakiwa wanafunzi 25 mpaka 30, mtu anapokea rushwa anaingiza wanafunzi 50 tena watoto wadogo, baby. Waalimu wenyewe darasani ni wawili. Huo si wazima

Kabla ya kuja st. Columba's ulikuwa unafanya kazi wapi mpaka uone maisha yako ni hapo tu?
Kama hautakuwa na ujamaa na huyo mtuhumiwa, basi wewe utakuwa huyo mtuhumiwa.
Sisi wengine hatuna interest sana na hiyo feud inayoendelea baina yenu humo ndani, tuachotaka kujua ni kama David anazo sifa au hana?
 
Hahahaaaa mshaha

A maelewanioooo mpwaaa

Ndioomanaaa UKIENDA SINZA MWANAMKE YULE TULE UNAPITIA KWA 5000 MWENZIO ANAKUJA KULIPA 20000--IMIOOOOO
Ulishasikia malaya anakiwango cha kutoza?
Vilevile hiyo huchangiwa na mteja mwenyewe anavyojisikia kihadhi.
Ukiwa na 2,000/=, malaya anapokea na una-bet.
Ukitoa 20,000/= kwake ni mteja halali.
Kama umempenda na unajiona una hadhi kuliko wenziyo, ukatoa 200,000/=, ni mteja kama wa elfu mbili. Tena hapo huita na king'asti wake wastarehe!
 
Kama hautakuwa na ujamaa na huyo mtuhumiwa, basi wewe utakuwa huyo mtuhumiwa.
Sisi wengine hatuna interest sana na hiyo feud inayoendelea baina yenu humo ndani, tuachotaka kujua ni kama David anazo sifa au hana?
Bora umenisaidia maana naona ananichosha tu

Anachanganya mada, ilitakiwa ajibu au aeleze kuwa mtu wake anasifa za kuongoza shule hizo
 
Hata mimi niliona taarifa imekaa kimajungu zaidi, Watanzania tunapenda sana vitu vya mteremko hata kama uwezo hatuna tunakimbilia kufitini Wakenya sijui kwa nini? Jalini kazi zenu kwanza halafu na hii tabia za kuwaibia waajili wenu bila huruma nayo inachangia kutoaminiwa.
Ni kweli kabisa. Sisi tz tumekalia majungu sana, chuki, wivu na roho mbaya.
 
LABDA KUONGEZEA AMENUNUA MAGARI SABA DOUBLE COASTER HAYA MAGARI YANAFANYA KAZI ZA SHULE JIONI YANA BEBA ABIRIA BILA KIBALI PALE MAWASILIANO NA YANAPOSIMAMISHWA HUTOA KIDOGODOGO NA KUENDELEA NA SAFARI

HILOO DOGO MAGARII HAYA HUSIMAMA PALE MWANZO WA DARAJA KUANZIA SAA TATU USIKU YAKIWA NANEMBO YA HILO KANISA KABISA PESB... NA HULIPISHA WANANCHI 1000 KUFIKA TEGETA NAOMBA NIWAWEKE WAZI SIHIOO TU WAPO JAMAA WANAJIITA KILIMANI SEC SCHOOL
SERIKALI IMESEMA MIHULA MITATU WAO WAMEWEKA MINNE WANALIPISHA LAKWANZA MILION MOJA NA LAKI TISA IHANITHI MTUPU NA HAWA NIWAKENYA

MABASIYAO JIONI YANAENDA NJIA YA YA UNUNIIOOO.. NAMENGINE USIKU HIKAA PALE MWENGE SHIDAMOJA KUBWA WANAKULA SERKLI ZA MITAA NA HATA UKIENDA POLISI KULLAMIKA KAMA WANAJUA HILO TATIZO NSHIDAKUBWA.....

RELX N ENJOY
Ulihitimu wapi degree ya MAJUNGU.
Masikini sisi wabongo jamani!!!!
 
Ulihitimu wapi degree ya MAJUNGU.
Masikini sisi wabongo jamani!!!!
Nenda Kenya ukiwa Mtanzania, ushike nafasi ya kawaida sana huku ukiwa huna sifa halafu umiliki vimalimali kama alivyotaja Pdidy hapo juu uone kitakachokutokea. Usichukulie mambo kirahisi ukisweep conclusions kwa assumptions zisizo na uzito!
 
Back
Top Bottom