Shule ya St. Columba's campus ya Upanga ni shida tupu. Mm watoto wangu watatu walikuwa wakisoma hapo, nimewahamisha kutokana na matatizo ya kiutendaji wa hiyo shule. Shule ina location nzuri ila hupati thamani ya pesa yako na madarasa utadhani ni mabanda ya kuku.
Huyo mkuu wa shule David Wathiga ndio source ya matatizo yote, uwezo wake wakuendesha shule na kusimamia walimu ni mdogo sana. Hata ukimpelekea malalamiko tena sensitive hupati feedback na pia halifanyiwi kazi anabaki kukuitikia tu vizuri.
Shule haina mabasi yake na anaetoa huduma ya usafiri ana mabasi mabovu kila siku spana mkononi.
Mabasi yanakuwa na watoto na dereva tu bila ya escort ya mwalimu au mtu responsible.
Walimu wana uwezo mdogo kwenye masomo wanaofundisha, wanawakosesha watoto kwenye mitihani ukiwasahihisha wanajenga chuki na mwanao mfano Teacher Hadija wa Grade one alimfinya mwanangu wa miaka sita karibu na sehemu zake za siri mpaka akatoka alama iliyodumu kwa zaidi ya wiki, Tr. Hadija nilipolalamika alijibu kuwa mwanangu atakuwa ameichoka shule na David Wathiga akiwa ni mwalimu mkuu hakichukuwa hatua yoyote.
Usimamizi wa watoto wanapokuwa shule ni mdogo sana hadi watoto wanabakana vyooni.
Walimu hawana wito, ukimpeleka mtoto na dawa kama yupo kwenye dose mtoto anaambiwa ungebaki kwenu, wakati watoto kila mara wanauguuwa UTI kutokana na vyoo vichafu havina maji yanayotiririka na hata sabuni yakunawia mikono chooni na kwenye dining room hamna.
Unalipia pesa ya swimming ya term, watoto wataenda ku swim hardly mara tano kwa term yote.
Chakula hakiridhishi, na kikibaki kinachanganywa na siku ya pili.
All in all hata performance ya shule kwenye mitihani ya taifa inaendelea kushuka mwaka hadi mwaka.
As a parent sikuwa naweza kurelax kabisa wakati wanangu walivyokuwa wakisoma kwenye hiyo shule. But now, i have found a good school, it's not perfect but it's a big step up from St. Columba's school.
Kwa hiyo shule inahitaji a change of leadership to begin with ndio mengine yatafuata.