spinderella:
Madai ambayo umeainisha ni ya kweli. Siyakatai wala siyapingi.
Tr. Hadija personally nilishagombana naye kwa kumchapa mwanangu.
Tukisema matatizo uliyotaja hapo ni kwa sababu ya David kwa kweli tutakuwa tunamwonea yule jamaa.
Je kabla ya David kuja, shule ilikuwaje? Ilikuwa ni bora zaidi? Screen shot za matokeo ya miaka mitatu iliyopita, je David ndiye alikuwa mwalimu mkuu?
David hana hata mwaka mmoja pale, kama sijakosea na amekuta pale pamejaa uozo hasa mwalimu wa academic ambaye aliondoka. Na mbaya zaidi David alivyotaka kuingilia system iliyokuwepo ya uozo, jamaa wakamwitia immigration. Nafikiri ndiyo maana akawa mpole.
Mwalimu wa academic alikuwa anasajili na kujaza watoto darasani bila kuzingatia idadi inayoruhusiwa kwenye darasa na hasa ukizingatia idadi ya waalimu ni wawili tu kila darasa. Unakuta mzazi unalipa ada ya mwaka mzima, lakini mwalimu wa academic anakumbia lazima tuition ifanyike. Akishachukua hela hafikishi kwa yule mwalimu anayemfundisha mwanao na hata huyo mwalimu hajui kama kuna maongezi yamefanyika. Na mbaya zaidi akapiga marukufu mwalimu kuwasiliana na mzazi wa mtoto. Hao ndiyo wameharibu shule.
Kama ni uongozi mbovu basi lawama ziende kwenye board ya shule kwa sababu wao ndiyo wanahusika kikamilifu. Kama David anapelekewa malalamiko na hayafanyii kazi basi huo nao ni uzembe.
Watoto wangu walipojiunga pale nilichoweza kubaini ni kuwa ile shule tayari ilikuwa inaenda downhill. Wengi walidai ni baada ya kuugua kwa Tr. Pamela ( may she rest in peace). She was running the school from the hospital, mpaka siku moja baba yao watoto akagombana nae, akamuambia kuwa wakati ww unatibiwa na ss watoto wetu wanaharibikiwa akamuuliza ni kwann asiwekwe mtu mwengine? Thank God wakalisikia hili akawekwa yule Msigwa, mambo yakaanza kupick up kidogo mara na yeye aka disappear. Ndio sasa akaja huyo David Wathiga.
Kweli kwenye kuleta changes kuna vyengine ni vya immediate na vyengine vinahitaji muda. Sasa swala lakuweka supervisor kwenye mabasi hii ni immediate, usisubiri mpaka watoto wasukumane na baya litokee, au dereva kupitiliza na watoto ambao ni wa mwisho kuteremka ambao ndio walikuwa wa kwangu na kwenda kuwafanyia lakuwafanya.
Swala la kuweka maji na sabuni vyooni, hili haliitaji muda.
Walimu kutosahihisha madaftari, au mwalimu kuonekana hayuko competent kwenye somo analofundisha, usipo chukuwa hatua anaepoteza ni mtoto na mm mzazi.
Mwanangu anafinywa mpaka anavilia damu, akaniomba nimpe 3 days alifanyie kazi halafu atanipa feedback, akakaa kimya na mwalimu kwa dharau anasema mwanao atakuwa ameichoka shule. Hii ndio ilikuwa last draw, i wasn't taking anymore shit and paying for it on top of it all, nikawahamisha.
Sir, mwanangu wa grade 3 anasoma mambo ya leadership, kwenye school leadership it clearly says that the Head Teacher has the duty to ensure the smooth running of the school by supervising the teachers and other activities in the school. Kwahiyo mm naanza na yeye, yaani alichokuwa ananikera ni kukusikiliza kwa makini like he cares na kukuahidi feed back halafu anakaa kimya mpaka utakapoenda kulalamikia kengine.
Walimu kwenye class parties wanakuja na mifuko ya kukusanyia vyakula vya watoto, lol. Wanawakatia watoto vi sausage, vipaja vya kuku wanakula wao, wanawapa vi juice, soda zote wakusanya.
They need a no non-sense person to turn that school around.