Kumbuka huyu magufuli aliwah kuwa mwalimu wa kemia pale sengerema sec: so nahsi ana phd ya ualimu wa kemia ila sio Mtafiti wa maabara
Umesema kweli mkuu jamaa ana dip na bachelor ya ualimu wa kemia ila master na PhD amechukua ya chemistry kwa hiyo yeye ni mkemia ila so kigezo cha kumpa kura 25/octmkuu ni kweli alikuwa mwalimu lakin hiyo phd yake si ya ualimu. Alifanya utafiti wa namna utpmvu wa korosho unavyozuia kutu. hadu sasa ana diploma ya ualimu na sio phd ya ualimu
Mchemia ni mtu ambaye amemejor kwenye chemistry wakati wa bachelor degree yake huwa anasoma masomo yote ya chemistry kama analytical, physical, inorganic, organic na technical writing hii inamsaidia kwenye report writing kama analyst. Anafanya kaz kwenye agency za serikali kama TBS, TFDA, NIMR, KWA MKEMIA MKUU, VIWANDA VYOTE NA MASHIRIKA YA MAJI KAMA DAWASCO, kwenye migodi na sehemu nyingine nying zinazohusu matumiz ya chemikali kufanikisha kazi. Kwa mkemia mkuu huwa wanadili na forensic science sana kwenye kutambua criminals kama watumiaji wa madawa ya kulevya, viwandani huwa wanakua quality control and assurance of products. Checking chemical balance in product and so on. Sehemu kama DAWASCO huwa wanaanalyse and purify water bila shaka umempata lolote

Huwa naamini walimu wote akiri zao ndogo!!

vipi competition yake katika ajira ikoje?
mkuu ni kweli alikuwa mwalimu lakin hiyo phd yake si ya ualimu. Alifanya utafiti wa namna utpmvu wa korosho unavyozuia kutu. hadu sasa ana diploma ya ualimu na sio phd ya ualimu
Hivi huwa kuna PhD ya ualimu?
Mchemia ni mtu ambaye amemejor kwenye chemistry wakati wa bachelor degree yake huwa anasoma masomo yote ya chemistry kama analytical, physical, inorganic, organic na technical writing hii inamsaidia kwenye report writing kama analyst. Anafanya kaz kwenye agency za serikali kama TBS, TFDA, NIMR, KWA MKEMIA MKUU, VIWANDA VYOTE NA MASHIRIKA YA MAJI KAMA DAWASCO, kwenye migodi na sehemu nyingine nying zinazohusu matumiz ya chemikali kufanikisha kazi. Kwa mkemia mkuu huwa wanadili na forensic science sana kwenye kutambua criminals kama watumiaji wa madawa ya kulevya, viwandani huwa wanakua quality control and assurance of products. Checking chemical balance in product and so on. Sehemu kama DAWASCO huwa wanaanalyse and purify water bila shaka umempata lolote[/Q. Hapo nimekuelewa vizuri