Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Unajuaje kama mimi ni msomi ? Nilikwambia ? Huko napo ni kukariri na kutoa majibu pasipo na machanganuo sasa sijajua kama wasomi mpo hivyo ni watu wa assumptions tuKaka umeishia darasa langapi mnk swal unalouliza wew halina maana kbsa kwa msomi wa chuo
Acha ujinga eti wapi unaenda kupata huduma alfu Kama ujasoma shule kosa Ni la Nani Ni vyema siyo kilia swali unauliza huku huku siyo Facebook mzee Ni Bora ungemuita mtu pepeni yako au kumfata inbox na kumuuliza nin maana ya kufanya hvyoUnajuaje kama mimi ni msomi ? Nilikwambia ? Huko napo ni kukariri na kutoa majibu pasipo na machanganuo sasa sijajua kama wasomi mpo hivyo ni watu wa assumptions tu
Ukiulizwa swali jaribu kujibu swali kama jibu unalo kama hauna ni bora kukaa kimya kuliko kujikuta mjuaji sasa hili ndio jibu gani ? Kwahyo watu kama sisi wenye uelewa mdogo hatutakiwi kuuliza maswali kama kama kuna jambo linatutatiza kisa maswali ni ya kijinga ? Ili swali nilouliza lina shida gani ? Au una kipimo cha maswali ya kuuliza ?
Mbona Shombe la Kisomali kanijibu kistaarabu
Be humble there is always bigger Fisher than you
Ok...upo sahihi!Yaan nilichomaanisha ni kuwa "Mimi ninaweza kuchukuwa vyeti vyako ww nikavipeleka kwa wakili kucertify bila ya kunihoji kuwa ni vyangu au lah"
Sasa unataka swali niulize wapi wakati mada imezungumziwa hapa ya KU certify cheti ? Na mimi nimeuliza swali la ku cerify cheti hapa hii mada sijaikuta facebook nimeikuta hapa Sasa wewe ni nani mpka upangie watu cha kuuliza ?Acha ujinga eti wapi unaenda kupata huduma alfu Kama ujasoma shule kosa Ni la Nani Ni vyema siyo kilia swali unauliza huku huku siyo Facebook mzee Ni Bora ungemuita mtu pepeni yako au kumfata inbox na kumuuliza nin maana ya kufanya hvyo
Halafu chengine mkuu sikukuuliza wewe kinachokuuma ni nini ? nilimuuliza shombe nilimquote sasa wewe unakuja unadakia swali unanijibu kwa kunidharauAcha ujinga eti wapi unaenda kupata huduma alfu Kama ujasoma shule kosa Ni la Nani Ni vyema siyo kilia swali unauliza huku huku siyo Facebook mzee Ni Bora ungemuita mtu pepeni yako au kumfata inbox na kumuuliza nin maana ya kufanya hvyo
List unayotakiwa kutumia ni ya pdf tu chief. Maana kwenye akaunt haionyeshi exactly ukumbi wa kufanyia interview. So pitia PDF angalia namba serial namba Yako ujue umeangukia ukumbi ganiSorry Mkuu na mimi pia napata changamoto hiyo kwenye Pdf ya Jumla nipo ila huku kweny Timetable bado sipo
Sorry mkuu, pdf imeshaachiwa?.List unayotakiwa kutumia ni ya pdf tu chief. Maana kwenye akaunt haionyeshi exactly ukumbi wa kufanyia interview. So pitia PDF angalia namba serial namba Yako ujue umeangukia ukumbi gani
tayari tangu jana, angalia tovuti ya Utumishi.Sorry mkuu, pdf imeshaachiwa?.
Kada gani mkuu?Hawa Utumishi mbona kada zingine hawaiti usaili..?
Nyingi tu kama mifugo, Kilimo, wakufunzi.. hizi zote ni zaidi ya wiki tatu Toka deadline ipiteKada gani mkuu?
Wewe unauliza wiki 3 hizo za TRA miezi 4 imechukua . Kuwa na subira.Nyingi tu kama mifugo, Kilimo, wakufunzi.. hizi zote ni zaidi ya wiki tatu Toka deadline ipite
Nisaidieni notes za custom wadau
File inagoma kufunguka hpo JF nitumie nmba yko ya whatsapp nikutumie utasoma maswal kwanzia 70 to 90 ni za custom tupu...mwka jna maswali yalitoka hukuNisaidieni notes za custom wadau
Limefunguka bos nimeonaFile inagoma kufunguka hpo JF nitumie nmba yko ya whatsapp nikutumie utasoma maswal kwanzia 70 to 90 ni za custom tupu...mwka jna maswali yalitoka huku
Ila custom mna raha,hamna mambo mengi kama wazee wa Tax.File inagoma kufunguka hpo JF nitumie nmba yko ya whatsapp nikutumie utasoma maswal kwanzia 70 to 90 ni za custom tupu...mwka jna maswali yalitoka huku