Kaka mbona unawatetea sana au nawe uko pale Utumishi ni mchambuzi wa applications za vijana[emoji1787][emoji1787]..?Wasomi wa Tz wawe wajinga? Wakati serekali yko ndo wanavotka hvyo utowe copy ya vyeti uicertify kwaadvocate na ndo uieke ajiraportal. Sasa ujinga hpo ipo wp inawezkna nilichelewa kuskia kuhusu huu utaratibu mpya na kuvieka ya certified ila usiseme wasomi wa Tz ni wajinga niutaratibu mpya ilotelewa na ajira htuna namna zaidi kujifunza na basi kuitana wajinga for wt lbda ww ndo mjinga hujielewi unachotamka
Huwezi kusema unatuma kopi ya certification ikaitwa certified. Hili waandikieni watu wa ajira. Lalamikeni hadi ofisi ya Rais Utumishi.
Email zipo. Hadi Ikulu.
Serikali ni watu. Kuna mambo uanahitaji marekebisho. Pamoja na hili.Wasomi wa Tz wawe wajinga? Wakati serekali yko ndo wanavotka hvyo utowe copy ya vyeti uicertify kwaadvocate na ndo uieke ajiraportal. Sasa ujinga hpo ipo wp inawezkna nilichelewa kuskia kuhusu huu utaratibu mpya na kuvieka ya certified ila usiseme wasomi wa Tz ni wajinga niutaratibu mpya ilotelewa na ajira htuna namna zaidi kujifunza na basi kuitana wajinga for wt lbda ww ndo mjinga hujielewi unachotamka
Ety mkuu, hivi wakati wa Usaili au hata ukiripoti kituo cha kazi(Yaan kwa mkurugenzi) ukienda na Certified copy utakubaliwa..?Sidhani kama ni hivyo. Guideline ya kucertify vyeti ipo miaka mingi. Kwanini usicertify vyeti ndo uviweke? Scenario imekaa hivi: utumish wanaamini ukicertify vyeti kwa mwanasheria/wakili vyeti hivyo ni original, wakiona hujacertify basi watakuwa na mashaka hata kama utawaonyesha original baadae.
Hakuna haja ya kulalamika. Ni kujipanga kwa wakati mwingine zaidi. Sio kwamba nawatetea ila ni sheria zao walizoziweka.
Mwisho nawatakia kila la heri kwa wale wote waliochaguliwa na Mungu awe nanyi
Kisheria ni lazima ukubaliwe ila uwe na sababu kwanini hujaleta originals kwa mwajiri wako. Pili, nakushauri uwe na original maana siku ya written interview ni lazima uonyeshe original, bila hivyo hata kama unasababu ya msingi vp, hawatakubali uingie ndani ya chumba cha mtihani.Ety mkuu, hivi wakati wa Usaili au hata ukiripoti kituo cha kazi(Yaan kwa mkurugenzi) ukienda na Certified copy utakubaliwa..?
Yamenikuta kila wakt wananita leo wananimbia siajcertify vyeti upuuz huuWasomi wa Tz wawe wajinga? Wakati serekali yko ndo wanavotka hvyo utowe copy ya vyeti uicertify kwaadvocate na ndo uieke ajiraportal. Sasa ujinga hpo ipo wp inawezkna nilichelewa kuskia kuhusu huu utaratibu mpya na kuvieka ya certified ila usiseme wasomi wa Tz ni wajinga niutaratibu mpya ilotelewa na ajira htuna namna zaidi kujifunza na basi kuitana wajinga for wt lbda ww ndo mjinga hujielewi unachotamka
Siwatetei kbsa na wala siko nao nachokwmbia usiseme watz wasomi ni wajinga ni makosa ya Utumishi wasomi wamekuwa wajinga kwa lipi hpo ujuwe unachoongeaKaka mbona unawatetea sana au nawe uko pale Utumishi ni mchambuzi wa applications za vijana[emoji1787][emoji1787]..?
Serikali ni watu. Kuna mambo uanahitaji marekebisho. Pamoja na hili.
Mm mwenyew yamenikuta hvyo hvyo kamandiDuh.one man down.
Sababu sijacertify vyeti eti.
Mbona wakati mwingine wananiitaga nikiwa hata sijacertify?
Hawa kenge kweli
Wewe ambaye sio wakili unaweza kucertify vyeti pia?Main point kabisa,, waache kuwafanya vijana wasio na Ajira ni Makolo.. watu hawana Ajira, pesa hawana wakienda huko kwa mawakili nao wanaendekeza njaa kama hawapati mishahara mwisho wa mwezi, utasikia wanakwambia Kila cheti ni 10,000/= kwanza huu uhalali wakucertify vyeti unatokea wapi hvi cheti OG na copy ipi Inamake-sense..? Alafu wafahamu kitu kimoja mawakili hawana mda wa kucompare vyate, kitu wanachowaza wao ni pesa tu ukiwapa pesa wanakugongea muhuri hizo copies na hata OG hawakuulizi ziko wapi.. So kwa mantiki hii mtu yeyote anaweza kucertify vyeti vya mtu yeyote bila kipingamizi.
As long as vyeti OG vinakaguliwa kabla ya Interview no problem.
Sawa, Ila sio Mimi niliyeandika hvyo ni quote ya mtu mwingine, Angalia vizuri quoteSiwatetei kbsa na wala siko nao nachokwmbia usiseme watz wasomi ni wajinga ni makosa ya Utumishi wasomi wamekuwa wajinga kwa lipi hpo ujuwe unachoongea
Yaan nilichomaanisha ni kuwa "Mimi ninaweza kuchukuwa vyeti vyako ww nikavipeleka kwa wakili kucertify bila ya kunihoji kuwa ni vyangu au lah"Wewe ambaye sio wakili unaweza kucertify vyeti pia?
Akikujibu nitagEty mkuu, hivi wakati wa Usaili au hata ukiripoti kituo cha kazi(Yaan kwa mkurugenzi) ukienda na Certified copy utakubaliwa..?
Hakuna mwajiri anayekubali. Hata pale utumishi hawakubali siku ya interview kwenda copy certifiedAkikujibu nitag
Mkuu kopi ya cheti ndio inakuwa certify ? Na hadi vya sekondari pia ?Yaan nilichomaanisha ni kuwa "Mimi ninaweza kuchukuwa vyeti vyako ww nikavipeleka kwa wakili kucertify bila ya kunihoji kuwa ni vyangu au lah"
Kaka umeishia darasa langapi mnk swal unalouliza wew halina maana kbsa kwa msomi wa chuoMkuu kopi ya cheti ndio inakuwa certify ? Na hadi vya sekondari pia ?
Na niende wapi napata huduma hiyo na gharama inakuwaje
Basi hawana point katika hili.. ni wasumbufu tuHakuna mwajiri anayekubali. Hata pale utumishi hawakubali siku ya interview kwenda copy certified
Yaan ni vyeti vyako vyote vya taaluma.. yaan kuanzia cheti ya 4m4 mpaka level ya juu ya elimu uliyofikia kama utahitaji uviweke vyote kwenye mfumo..Mkuu kopi ya cheti ndio inakuwa certify ? Na hadi vya sekondari pia ?
Na niende wapi napata huduma hiyo na gharama inakuwaje