Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,179
- 5,186
Serikali zote duniani zina miundo namna ya uendeshaji nchi hilo ni wazo tu ukilipeleka serikali yeyote linatekelezeka mkuuOndoa shaka
Chadema hawataondoa ajira yako au posho zako.
Inawezekana wakaziboresha zaidi ili uishi kama binadamu.