misnomer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 203
- 69
huyo c mmewe, hyo ni Ally Remtulla, mbunifu wa mavazi
Muzungu mwenyewe huyu hapa:

![]()
Jamani acheni roho mbaya huyo dada wa watu amewakosea nini?
kwa taarifa yenu ni kweli ni muke ya mzungu kweli na mume wake si mzee damu
mbichi kabisa,na maisha yao Bomba nbaya huko Dubai,what a womani need
from a man?just a peace and a wonderful life,ukweli hata kama utawachomeni
ni kwamba wanaume wengi wengi weusi wana mapenzi ya Urongo!Bisha!
Ukioa au kuolewa nchi nyingi ikiwemo Tanzania anapata uraia wa mme/mke wako.basi apo akuna Ndoa,wameokotana na kuanza kaa wotenthen wakazaa.vinginevyo yangu macho.From my understanding, hawajaachana mbona wapo tugeza na mudhungu wake. Kwasasa hawaishi tena Dubai, mzungu karudi kwao na mange can't join them due to visa issue.
Jamani acheni roho mbaya huyo dada wa watu amewakosea nini?
kwa taarifa yenu ni kweli ni muke ya mzungu kweli na mume wake si mzee damu
mbichi kabisa,na maisha yao Bomba nbaya huko Dubai,what a womani need
from a man?just a peace and a wonderful life,ukweli hata kama utawachomeni
ni kwamba wanaume wengi wengi weusi wana mapenzi ya Urongo!Bisha!
![]()
Mwacheni mdada wa watu ajidai, maisha yenyewe mafupi haya.
Khaa!![]()