Mke ya Muzungu....

Mke ya Muzungu....

Kweeeeeeeeeeee

bht ....ile sehemu ulokuwa unasema si palikuwa panaitwa kwa doctor?
Boff bana, sijui kaa ndo kwa doc ila ngoja nikuelekeze, ukitokeza tu barabara ya mfaume toka ile ya mzumbe kunja kushoto kwako kama nyumba ya pili hivi kulia.... Wanauzaga na bia kimtindo
 
ndio hapo hapo, sasa siku hizi wamepa tengeneza pamekuwa pazuri sana, na kuna mpangaji mpya pale
 
Eeh palitengenezwa...
Sasa wee siku ile mbona ulikuwa unanizingua unanielekeza kule liverpool karibu na ule msikiti wa ismailliya
 
Boff bana, sijui kaa ndo kwa doc ila ngoja nikuelekeze, ukitokeza tu barabara ya mfaume toka ile ya mzumbe kunja kushoto kwako kama nyumba ya pili hivi kulia.... Wanauzaga na bia kimtindo

Hapo ndio palikuwa panaitwa kwa doctor, na mchana sometime naenda lunch, siku hizi pako poa, wameweka mpaka dstv
 
Eeh palitengenezwa...
Sasa wee siku ile mbona ulikuwa unanizingua unanielekeza kule liverpool karibu na ule msikiti wa ismailliya

kule ni mbele kidogo.....

sasa hapo unaposema hakuna tena chips vumbi....ndio maana nikawa confused
 
Weeee wazipiga chini chipsi vumbi pale? Daah...kuna nini sasa?
 
sasa hivi kuna menu ya uhakika, na pombe wanauza pia

na masister du wanaweka mingo pale
 
MANGE KIMAVI AT WORK@

SASA BOFLOO..WEWE KULE NI NANI KATI YA HAWA..C'MUM, Desperate Housewives, Koku..Judith..ama Muddy washngten?
 
boflo bana! wewe dawa yako chai tuu, tena ya maziwa na iliki na tangawizi, kwishney:shut-mouth::high5:
 
....wapi nyani ngabu mpenda gillete....bwahahahaha
 
Domo mbele kama mbuzi,kakomaa sana,nywela za bandia nani anataka?
 
Chuki za kuua....ha ha mijanaume mizima,kama huna furaha na maisha yako jipange upya,
...Wanaume kama Mabinti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom