Mke wangu yupo labour tumuombee

Mke wangu yupo labour tumuombee

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Niko kwenye hard time kwa sasa maana ndio first time niko kwenye bench kusubiria majibu ya dokta
 
Badala ya kupost humu, ungekuwa unasali. Anyway, ngoja nikusaidie kuomba!
 
Hapo vuta pumzi ndefuuuu..... Kisha kaa chini kwa utulivu.... Ila mi bado sijawa baba arif... Badn nipo nipo
 
Niko kwenye hard time kwa sasa maana ndio first time niko kwenye bench kusubiria majibu ya dokta

Huyu huyu sweetlady.......mbona alikuwa haonyeshi kama ana mimba......ama kweli hiyo ilikuwa mimba ya kiunoni......hata huioni......
 
Last edited by a moderator:
Kaka mambo niaje, kumbe kupotea kwako ilikua ni katika ulezi wa mama kijacho eenh...
Mungu atamsaidia mkeo na kujifungua salama..na hatimaye utaitwa baba.
 
Vipi baba mtarajiwa nitonye .... Mambo bado? Mbona kimya? Au katoka mtoto wa kihindi?
 
Last edited by a moderator:
Donn mambo yashakuwa mazuri, karibu sana nyumbani uje unywe supu ya mwanzo mwanzo, husband kaangusha dume la ng'ombe tayari
 
Last edited by a moderator:
We sweetlady wewe kumbe kupotea kwako ndo huko
Hongera sana nitonye kwa kupata kwako mtoto wa kiume Mungu ampe kila la heri amkuze salama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom