Nawashukuruni sana kwa maombi yenu now nimeshatoka hospital na wife yuko salama
unasubiri nn!
Hahahaha Preta ilikuwa mimba ya kichwani lol, hukuona nywele zimeongezeka?
Nicas Mtei mwaaaaa, Mungu ni mwema nshajifungua salama, ulete nyama
nakusubiria uachane na loya tuandae wakwetu