MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
- Thread starter
-
- #141
Do you know why? Because God allowed our 2 bodies to become 1 after marriage not phones which are made by human beings, if u want to know how couples need to treat phones ask the manufacturers, they always put-in some "terms & conditions" of using them, God didn't do that in our body parts!Hard truth but, we live in a time where couples are allowed to touch each other's private parts but forbidden their phones,...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pigania uhuru wako...!
Never for my kids, they have nothing to do with their mother's wickedness!Itakula kwako cz ni mkeo tayar labda useme humpend unamtafutia sababu ya kumuacha na watoto wako wapate shida
Nitakuona wa maana na mwenye msaada mkubwa kwake kama utamshauri njia halali za kutumia kum-handle mumewe badala ya hz za Kijasusi, mnazidi tu kumpoteza mwenzenu!Hata kwako itakula tuu baba. Hiyo sheria ya mtandao weka kando kwanza bt huyo mmama anafight na haki yake ya kuwa mke kwako lazima ajue usalama wake. Siku hiz magonjwa meengi
Kweli we faster! Angalia mbele lkn!Mi si wa ndoa ila issue ni simple...... flash simu yako au nunua Nyingine weka Lain yako na kuwa safe zaidi renew Lain yako baada ya kuhakikisha una back up contact zako zote
Kama hajashika simu yako anapata information kutoka kwa wahusika wa mitandao ya simu, ishawahi kunitokea jamaa flani simu yangu hashiki lakini ananiambia kila kitu kwenye simu yangu na yote anayo sema ni kweli na nlikua natumia simu ya kawaida sio smart phone, sms zote anajua nikimbip mtu ananiambia saa flani umembip flani akakupigia mmeongea dk kadhaa.... Baadae ndo akanambia ana mtu wa voda anaempa taarifa zanguAmekataa kabisa kuweka wazi, yeye ameng'ang'ania kuomba msamaha na kudai yaishe. Yataishaje bila kujua methodology aliyotumia?
Ah ah ah kwan huko kuna madhambi gan uliyo yaficha maana jasho linakutoka? Nahis una michepuko na sio mchepuko. Halafu huyo nu mkeo wa ndoa mbona umepanick kuhackiwa cm yako au na yy mchepuko?Nitakuona wa maana na mwenye msaada mkubwa kwake kama utamshauri njia halali za kutumia kum-handle mumewe badala ya hz za Kijasusi, mnazidi tu kumpoteza mwenzenu!
Thnx, nakubaliana na wewe. Kinachouma zaidi kwangu ni kuwa what if jamaa aliye huko Vodacom ni mwanaume mwenzangu na ili ampe wife hizo taarifa zangu anamlipa nini? Mijitu mingine humu inaropoka tu bila kufikiri mbali na kuona jinsi ninavyonyanyasika kisaikolojia!Kama hajashika simu yako anapata information kutoka kwa wahusika wa mitandao ya simu, ishawahi kunitokea jamaa flani simu yangu hashiki lakini ananiambia kila kitu kwenye simu yangu na yote anayo sema ni kweli na nlikua natumia simu ya kawaida sio smart phone, sms zote anajua nikimbip mtu ananiambia saa flani umembip flani akakupigia mmeongea dk kadhaa.... Baadae ndo akanambia ana mtu wa voda anaempa taarifa zangu
Padri hana ndoa ila ni mshauri wa ndoa....Ningependa zaidi kupata michango toka kwa wazoefu wa ndoa kuliko wale wenye ndoa za "kufikirika" vichwani.
Kinachoniumiza ni kuwa how far has she gone na anatumia rasilimali zipi kufanikisha hayo?Ah ah ah kwan huko kuna madhambi gan uliyo yaficha maana jasho linakutoka? Nahis una michepuko na sio mchepuko. Halafu huyo nu mkeo wa ndoa mbona umepanick kuhackiwa cm yako au na yy mchepuko?
Kama hapewi tamuu anapewa hela, but sio lazma viwe hivo pia may be ni school mates anachekiwa free tu.... Mi nna school mate wangu yupo kwenye kampuni ya simu nlikua namtuma hizo kazi haniombi hata sh miaThnx, nakubaliana na wewe. Kinachouma zaidi kwangu ni kuwa what if jamaa aliye huko Vodacom ni mwanaume mwenzangu na ili ampe wife hizo taarifa zangu anamlipa nini? Mijitu mingine humu inaropoka tu bila kufikiri mbali na kuona jinsi ninavyonyanyasika kisaikolojia!
Ah ah ah unaogopa if anachepuka? Uhiii wew huchepuki? Kama unagawa mkia wake na yy lazima agawe kipoch manyoya. Kama mchezo tunaita draw.Kinachoniumiza ni kuwa how far has she gone na anatumia rasilimali zipi kufanikisha hayo?
Kumbe inakuuma wife kutumia rasilimali zenu kufanya hayo, ndo hivo nae inamuuma kuona miamala ya mpesa kwa watu wakati ye anajibana bana na maishaKinachoniumiza ni kuwa how far has she gone na anatumia rasilimali zipi kufanikisha hayo?
shida ya wanaume wa africa ni usri sanaSioni sababu gani unapata ugumu kumshirikisha mwenzio maombi ya kugawia watu (hata kama ni ndugu zako) rasilimali za familia. Fedha hata kama ni zako, hizo ni za kwenu ndani ya familia hivyo mke ana uhalali wa kuhoji zinatumika vipi. Hapa naona shida unayo wewe na bado hujatambua kuwa unachokifanya ni tatizo. Bahati mbaya maelezo yako yanaonesha wote na mkeo mmekuwa ni watu wa kufichana mambo. Yeye ana siri zake nawe una zake. Kwa style hii ndoa haiwezi kuwa na afya. Inakuwepo tu ndoa jina.
Alaa, kumbe ndio mambo yenu hayo?Kama hapewi tamuu anapewa hela, but sio lazma viwe hivo pia may be ni school mates anachekiwa free tu.... Mi nna school mate wangu yupo kwenye kampuni ya simu nlikua namtuma hizo kazi haniombi hata sh mia
Yap, especially kukiwa na vimambo vya siri siri, vitabia visivyoeleweka n.k wewe na mkeo hakuna siri kati yenu hata kama umetumia rafiki ako pesa kumshirikisha mkeo haimaanishi ndio kuomba ruhusa katika story tu unamwambia dah flani ana shida unaeongeza na chumvi kalala njaa siku ya tatu leo kaniomba hela ya kula nimemrushia elf 20. Ukishamwambia hivo kuna ubaya? Saa ngapi ataanzisha kesi hapo, Ila ukishafanya siri akigundua ye mwenyewe ndo timbwili linaanza na kupekuana kunaanzia hapoAlaa, kumbe ndio mambo yenu hayo?