Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

Wanandoa mnaishi mikoa tofauti,asanteee!
 
Ni aibu kumshitaki mkeo kisa kaingilia mawasiliano yako. Hapo kuwa mpole tu na mwelekeze mkeo kwa utaratibu kuwa hukufanya kwa nia mbaya.

Lakini wakati huo huo ukifanya uchunguzi je, tatizo ni hiyo hiyo miamala ama la. Inawezekena tayari ana "kidumu" huko hivyo anajihami.

Kama vipi nunua line nyingine maalum kuhusu pesa ili kupunguza migongano isiyo ya lazima.
 
Povuuuuu! Sio bure!
 
hebu mwambie, maana mimi mwenyewe nimekua na wasiwasi kuhusu maturity ya huyu jamaa anayejiita Nyani Ngabu
Afadhali, ndio maana mimi pia nilimhoji kama yupo kwenye ndoa au la!
 
Ndo maana nilikuambia Wewe ni mpumbavu, tena jingaman kumbe ulikuwa na mchepuko sasa kosa lake liko wapi? halafu unasema unataka ushauri wakati tayari una jibu la kufanya, haya nenda kafungue kesi umfunge roho yako itulie juha Wewe, yaani huyo mwanamke angekuwa ni dadangu unamnyanyasa hivyo Ningekuchoronga na risasi bazazi Wewe umenikera sana.
 
e banaee sio lazima kuchangia huu uzi mzee, kama unaona mtu hataki ushauri wako , achana nae, its non of your business, mambo ya matusi ya kazi gani?
 
Za uso hizo
 
Umshtaki ili iweje? Akisuffer kwa kupigwa penalty au kufungwa bado madhara ni yenu wote. Muombe msamaha na next time kuwa muwazi kwake na uache michepuko.
 
Ngabu yuko sahihi ila kama unamawazo haya basi umeoa ili utimize agano tu,
 

Suala jepesi la kujiuliza mkeo anafanya kazi kampuni ya simu!? Je, ana rafiki yake wa karibu walioshibana nae anayefanya kazi kampuni ya simu?
 
mi huwa kuishi na mtu huku kuna mambo yakufichana siwezi, nataka niwe huru nikiacha simu apokee asipokee ni yeye, hata sms ikiingia akasona akanielezea tu kuna mtu anaitwa ..... kasema hivi ni poa tu
 
China wana hack kupata data na kuiba technology kutoka kwenye makampuni makubwa ya Marekani!! Wa Africa tuna hack sim ili kusoma msg za mapenzi ya wepenzi wetu!!!! Noma sana
 

OK Ukimshtaki na akafungwa, then what? Utaoa mke mwngine akuzaidie kulea watoto? Wewe ndio una matatizo na si mkeo. Alichofanya ni kupata habari za ziada kuhusu wewe ili aweze kufanya "informed decision" na asikurupuke. Kubali makosa au justify ulichotenda.
 
Reactions: nao
Hakuna aliyekwenda shule nchi hii. Wote ni magumashi. Haiwezekani mtu alete mada kuomba msaada wa mawazo kabla hajachukua maamuzi atakayoyaafiki...HALAFU BADALA YA KUTOA MAONI MNAANZA KUCHAMBUA HALI YAKE YA NDOA NA UHALALI WA KUWA WAZI KWENYE MAWASILIANO YAKE NA MKEWE. you guys are croocked.
 
Ubarikiwe sana, kuna wakati nilitaka kuhoji hilo ila kwa vile mimi ni victim hapa nikasita, ndio maana mara kadhaa nimekuwa nikiwakumbusha kuwa kabla mtu hajachangia angalau asome title ya hii post na maelezo ya mwishoni mwa uzi huu, you made my day!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…