Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

[MpiganiaUhuru, post: 15110964, member: 75976"]Kama umesoma vizuri post yangu ni kuwa mambo ya Mpesa nilitoa kama mfano, otherwise nilisema ana sms zangu zote kwenye cmu yake![/QUOTE]

Regardless ..... .... hakuna siri chini ya jua ..... hizo sms anazipata kwa hao unaowatumia .... because hao wanaojifanya wanafanya siri na wewe they are bluffing you
 
Hio ni kukata communication za app aliyoinstall kukuspy katika simu yako na kuhusu laini kama kuna mtu aliyomuunganishia direct kutoka kwenye kampuni ya simu
 
MpiganiaUhuru fanyia kazi ushauri huu. Una ukweli mwingi, unless awe anapata messege kutoka line zote (in case una line zaidi ya moja).
 
Acha kupaniki we dogo.

Wewe kuwa mkweli na mwaminifu tu kwa mkeo [alimradi na yeye awe hivyo] na haya matatizo hayatakutokea.
Ni kweli anatakiwa kuwa mkweli kwa mke wake hilo moja pia anatakiwa aisha na mke wake kwa AKILI. Mke hatakiwi afahamu kila kitu afanyacho mume wake.
 
i smell something.....here! usiangalie matokeo ila angalia chanzo. mkeo amepataje wazo la kuhuck simu yako?jitathmini mwenendo wako !kisha angalia unaishije na mkeo?......
ushauri wa bure,kama kuna uwezekano wa kuishi na mkeo mkoa mmoja basi fanya hivyo....long distance ina madhara yake hasa kama mshafikia hatua kama hiyo ya KUTOAMINIANA.
 
Mkeo Ana bahati Sana ya kuwa na mume aliyetoka nje ya mkoa ule ambao wanaume wanazimisha maisha ya wake zao kwa mizozo kama huu. Haya tumeyaona sana hapa jamvini hivi karibuni. Ninakubaliana na mawazo ya wengi hapo juu Lakini niongeze tu nimeshangaa uliposema wewe na Mkeo mnaishi mikoa tofauti. Hapo kunatia shaka kama mna ndoa na hili linaweza kuwa ndio sababu ya mke kutokuwa na trust kwako.
 

kumfanya mke ajue kila kitu sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui wewe!!
 
huwezi mshtaki mkeo kwa namna yyte ile,maisha yana leo na kesho kama alihack kwa sababu za kukudhuru hapo sawa,lakini kama alihack kwa ajili ya kulinda na kutaka kujua mali zenu zinavyotumika ndivyo sivyo mpe hongera pia anajali,
 

Mkuu Nyani Ngabu.
Acha Povu. Ni vyema tungemsaidia huyu jamaa.
 
Wala usipaniki!!
Kaa nae chini umueleze athari za hayo aliyoyafanya mana huenda yakapunguza mapenz au pia ndoa yenu ikabomoka kama si kuvunjika.

Lkn pia mpk mkeo kufikia hatua hiyo ni wazi kabisa wewe ni straiker mwenye vichepuko so kaingia hofu na wewe!!

Hebu weka sababu basi zilizopelekea mkeo kufanya hilo, weka dhambi zako ili tujue pumba na mchele ni upi sio tu tunakushauri wakati huenda we ndie mwenye shida
 
Amejuwaje hayo maujanja? Hakuamini. Naye ana mtu mitandaoni, ukila nawe unaliwa.

Haileti afya kwenda mahakamani. Aseme ukweli ili yaishe.
 
Alichofanya mkeo ni kosa. Mpo kwenye ndoa lakin kujua taarifa bila ruhusa yako si jambo zuri. Kemea hiyo tabia. Ikijenga miziz litakuwa tatizo kwako. Kama wewe ni mfanya biashara linaweza kusababisha uhusiano wako na wateja zako ukaharibika. Nina experience amini hilo.
 
Mkuu nisikize mimi mkeo haja hack simu yako kama unataka kuamin hilo nunua smu ya kawaida ambayo hiana 4G.3G. Au Wi-fi au GPS au kama vip badilisha simu nyingine tu ya android na weka email nyingine ya gmail. Na hakikisha humuoneshi mtu password ya email yako au kumpa mtu simu akaweza ku access app store.


Au pia cha kukusaidia kingine hiyo android uza na nunua IOS PHONE ambazo ndo jamii ya apple hiyo hainaga ujinga kama wa android maana apple kila mtu ana id yake.

Wakat android unaweza tumia gmail zaidi ya moja.

Fata ushauri wangu.

Kuna appa moja kaiweka kwenye simu yako na eidha ana tumia email yako au email anoijua yeye cha kufanya kingine chunguza appa zako kuna kitu kinaitwa android lost usije shangaa sku moja akakupiga picha au akarekodi maongezi yako ya faragha.

Ila sms za whatsApp haweza access ni za kawida kila sku anauwezo kudukua meseji 500 maana atakua ana i control smu yako.

Fata ushauri wangu na hatunzi kwenye simu hizo anatunza kwenye computer kwa maana simu haiweza kuispy simu nyenzake ni lazima awe na kifaa kikubwa kama tablets au pc

FAta ushauri wangu kudumisha maelewano katika ndoa tako takatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…