Haya ndio matatizo ya wanawake wa 'kuokoteza' hawajafundwa, hawajafunzwa... Ila si ni wewe mwenyewe uliyemchagua? Itabidi tu umvumilie. Kama alishinda mitihani yako, moyo wako ukamptisha, sasa it is too late to apologize!
Mkuu kizazi cha sasa ndo wako hivyo....mhimu ni kuwapa airtime zaidi, fanya naye vitu unavyotaka awe anavifanya mfano kwenda sokoni pamoja, nunua vitu unavyotaka mpike, kaoge naye, etc taratibu atabadilika. Ukijifanya uko busy kusaka noti au kumtimua siyo jawabu zuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.