Mke wangu simuelewi,wiki ya nne sasa nalishwa Dagaa

Mke wangu simuelewi,wiki ya nne sasa nalishwa Dagaa

Mke Wako Ako Na Akili Sana Kesha Jua Mme Wake Ako Na Hypokalaemia Saf Sana
 
Poleeee kula tu nasikia inaitwa misumari ya moyo
 
Hamkuchunguzana kabla yakuwekana ndani?Na hiyo hela nzuri ni sh.ngapi usije ukawa unaacha 3000 utegemee kula vizuri
 
----- we tatzo la wasukuma and the other alike mnapenda sana kuoa watoto wadogo unategemeaa nn?? Mahaba hajui Mapenz sfur badilikeni hacheni kuwabaka.Ni laana kumuacha mkeo Ushaur ushapewa Hapo juu chukua hatua usituchanganyie habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom