Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,565
- 9,760
- Thread starter
- #21
Mungu akubarikiAhsante mume wangu, hapa hakuna hata anayeweza kuonja tunda lako, nimekutunzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hakikaI miss you more future hubby
Duh aseehAmekuelewa,yupo anasoma ujumbe wako akiwa kifuani kwa mwanaume unayedai anamchezea
Hizi ID nyingine bana. Hazieleweki siku nyingine zi comment kama ME siku nyingine zikiamua zina comment kama KE basi vurugu tupu!!Ahsante mume wangu, hapa hakuna hata anayeweza kuonja tunda lako, nimekutunzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada keshasema wataachana ni mbio za sakafuni tu hizoAmekuelewa,yupo anasoma ujumbe wako akiwa kifuani kwa mwanaume unayedai anamchezea
Hizi ID nyingine bana. Hazieleweki siku nyingine zi comment kama ME siku nyingine zikiamua zina comment kama KE basi vurugu tupu!!
Au ni Trans?
Asee siku zote najuaga hii ID ni ME.
Sawa mkuu makosa sio yako ni yangu.
Duh aseeh
Nikajua umemuona wife wa jamaa kumbe nilikua sijaelewa uzi 😂Nini sasa?
Nikajua umemuona wife wa jamaa kumbe nilikua sijaelewa uzi 😂
Ntajuaje sasa mimi?Namjulia wapi aseee 😂
Nijuze basiUnatakiwa ujue chaliifrancisco
Mie simjui mke wakeNijuze basi