Do you really love Nyani Ngabu?
Really? I mean, like seriously?
Mama yangu wewe
Hujambo mwanangu?
Hhahahahahahaaaaaaa haiwezekani.....................
Kwani nilisema nakupenda hapo juu? ni mimi au ntakuwa nilikuwa naota bana...........
Mie Kasie ntaanzaje kukupenda wewe babu mweye wachumba kibao akuuuuu
Mie staki bana hata sikupendi na kama nilisema hivo basi nilikosea nilifikiri nimeandika sikupendiiiiiiiii
Ukitaka nikupende ninanihii halafu unanihii halafu nami ntananihiii 😀😀😀😛
Silly me.....
Seriously I LO YO. .............(Said I love you but I lie.................)
Wachumba gani hao nilionao? Wa kufikirika?
Cjambo mama cjui wewe
Niko poa, ila uachage vituko mwanangu, au ndo ile like mother like son?
mi bado nakuwa sijaingiamoyako ikoje?
eheheehe wewe kiboko sasa au mambaView attachment 319142 Mkeo amekusikia....
Unasubiri nini kuingiamo!mi bado nakuwa sijaingiamo
Eeeh......sie tulijua ni kiukwelikweli....Mmh mie sina ila natamani nije kumwambia hivi muke mutarajiwa!
Ama kweli kila zama na mambo yake.Nilisha kutana na kaka mmoja hivi kitamboo huko nyuma malavi davi yalikuwa 120/140 ilikuwa mbinguni duniani maana tulipeana raha zote za dunia hii. Mkaka alipagawa na paja la kinyamwezi sio tuu alinipa password ya atm pia alinimilikisha ardhi na moto kaa zake kadhaa..... bahati mbaya ilikuwa ni enzi ya kuoa mtu wa kabila la kwao hapo ndo tulipoachana maana sikuweza kuhimili kuwa nyumba ndogo wakati bado ni mschana.
Hata hivyo mada nzuri inavutia.