Mke wangu nisikilize kwa makini

Mke wangu nisikilize kwa makini

Asante sana mume wake na mie. Yoooteee nimeyasikia. Ila staki kuwa mnafiki wewe baki na password zako zote sizitaki maana jf una zaidi ya 3. Mbona nakupendaga hata husiponionesha private zako? Staki uvae ngozi ya kondoo. Be original mda wa kukufatilia sina maana tutazeeshana mapema. Mm private zangu sikuoneshi la muhimu nikuheshimu na kukuhudumia. Lv u my pumpkin.
 
Can you drop it down low and bring it up real slow?
Get lost, there is nothing you are going to get here.......drop down and lower yourself, I hate slow movers...... remember it's a race.....
 
Get lost, there is nothing you are going to get here.......drop down and lower yourself, I hate slow movers...... remember it's a race.....

Just go jump in the river and stay there.
 
Usiku huu wa kwanza wa Honeymoon yetu ningependa nikwambie haya yafuatayo......

Harusi sasa imeisha, kila mtu amesharudi kwao. Hakuna muziki tena, hakuna kwaito tena. Harusi yetu ilikuwa nzuri. Nilijitahidi kuandaa harusi ya ndoto yako. Najua ulikuwa ukiangalia sana kipindi cha chereko TBC 1. Ukatamani tuwe na harusi nzuri kuzidi zile zilizokuwa zikioneshwa. Nimejitahidi ktk hilo.

Nilichoshindwa ni kuirusha tu live. Sasa ni historia. Harusi tumemaliza ni muda wa kujenga ndoa yetu. Kilichobaki ni sisi wawili tu. Kila kitu kinachotarajiwa na sisi kinaanza usiku huu.

Maisha yetu hayako kawaida sasa, kuna siku fulani ulikuwa umevaa gauni lako jekundu. Ulionekana mrembo sana siku ile. Ni siku ile ambapo tulienda pamoja kuangalia Cinema pale Mlimani City. Tukiwa tunaangalia sinema nilitamani nikukiss, nlitamanai nikushike kwa jinsi ulivokua ukinivutia.

Guess what mke wangu....

Sasa nipo nawewe maisha yangu yote, naweza nikakushika muda wowote ninao hitaji pamoja na kukikiss muda wowote ule. Ngoja nikuambie vitu vichache. Sina kitu cha kukuficha kuanzia sasa. Simu yangu unaweza ukaitumia kama yako, unaweza ukaingia fb yangu kama kwako, twitter, JF, Instagram na kwingineko.

Mke wangu Kuanzia leo mimi nimekuwa mtoto wako, kwa miaka mitano iliyopita nilikuwa mwanaume mtu mzima. Nilikuwa nikiamka mwenyewe asubuhi, muda mwingine nililala na njaa. Hizi zote zilikuwa changamoto za maisha. Nilirudi gheto kwangu muda wowote niliojisikia. Na sikuwa na mshauri wa karibu mtu wa ku share nae siri zangu. Lakini vyote vimeisha kuanzia sasa.

Nisikie mke wangu Kuanzia leo wewe ni mama yangu, utakayenikaripia kama nitachelewa kurudi nyumbani bila sababu ya msingi, mama yangu utakae niamsha asubuhi saa kumi na mbili niwahi kazini, mama yangu utakae hakikisha silali na njaa. Ninajivunia kuwa na mama mwingine hivi sasa.

Ni matumaini yangu kuwa utakuwa mama mzuri kwangu. Usiwe na hasira sana na mimi nakuahidi ntakuwa mwema kwako. Usinichunguze sana maana huko mbeleni utaanza kujenga taswira ambazo hazipo zikaja kuleta ugomvi kati yetu. Najua muda mwingine nitakusababishia maumivu ya kichwa ila nakuahidi nitakuwa mfumbuzi wa hayo maumivu ya kichwa pia.

Mke wangu sikiliza Wazazi wangu walivyofariki, mimi ndio nilikuwa mwangalizi wa wadogo zangu. Nilikuwa kama baba kwao. Hivyo sioni kama kutakuwa na tabu yoyote mimi kuwa baba yako.

Tujenge taasisi yetu sasa.
Zilipendwa
 
Nilisha kutana na kaka mmoja hivi kitamboo huko nyuma malavi davi yalikuwa 120/140 ilikuwa mbinguni duniani maana tulipeana raha zote za dunia hii. Mkaka alipagawa na paja la kinyamwezi sio tuu alinipa password ya atm pia alinimilikisha ardhi na moto kaa zake kadhaa..... bahati mbaya ilikuwa ni enzi ya kuoa mtu wa kabila la kwao hapo ndo tulipoachana maana sikuweza kuhimili kuwa nyumba ndogo wakati bado ni mschana.

Hata hivyo mada nzuri inavutia.
Duh natamani kuliona hilo paja!
 
Nilisha kutana na kaka mmoja hivi kitamboo huko nyuma malavi davi yalikuwa 120/140 ilikuwa mbinguni duniani maana tulipeana raha zote za dunia hii. Mkaka alipagawa na paja la kinyamwezi sio tuu alinipa password ya atm pia alinimilikisha ardhi na moto kaa zake kadhaa..... bahati mbaya ilikuwa ni enzi ya kuoa mtu wa kabila la kwao hapo ndo tulipoachana maana sikuweza kuhimili kuwa nyumba ndogo wakati bado ni mschana.

Hata hivyo mada nzuri inavutia.

Kumbe kweli ni mnyamwezi.....
 
Are you an intelligence officer?

Haahahahahaaaaaa......................😀😀

You know what, ..............................

I just LOVE you............

Yes, Kasie LOVES YOU..........😛😛

Though you are my teacher ............ you are my student at the same time............😉
 
Duh natamani kuliona hilo paja!

Usiendelee kutamani maana halipo tena hiyo ilikuwa enzi hizooo kwa sasa ni historia ukisikia kikongwe bin ajuza...........................
 
Haahahahahaaaaaa......................😀😀

You know what, ..............................

I just LOVE you............

Yes, Kasie LOVES YOU..........😛😛

Though you are my teacher ............ you are my student at the same time............😉

Do you really love Nyani Ngabu?

Really? I mean, like seriously?
 
Back
Top Bottom